Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Sasa umefika wakati wakristo(USA&Uk) wawatwange hawa waajemi wanaovaa vilemba,ili tupandishe bendeera ya myahudi uajemi yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mkuu hivi unafikiri Myahudi ni Mkristo au sababu tu “ Jesus “ ni Myahudi

Unajua Wayahudi wanamchukulia Yesu kama mtu aliechanganya mada na mapokeo (mtu aliekuwa kachanganyikiwa na akachukua mafundisho yao kitofauti) hata mama yake wanamchukulia alikuwa ‘ siyo msafi’ na akazaa mtt nje ya ndoa (Mwanaharamu)

Bendera ya Israel haikusaidii ktk iman yako mkuu hao hawajui Uislam hata Ukristu tena afadhali hata huo Uislam wanaujua kidogo sababu jamii pia ya jirani zake Palestina ni wengi Waislam

Wakristu ktk Israel ni minority

Mambo ya hizi dini sisi wamatumbi dah tuliingizwa chaka na hapa ndo ukamilifu wetu kama binaadam ulipotea kwenye macho ya hawa hatuna chetu
 
chanzo chako ni RT?
RT ni anti America usitegemee jema
.

Engine catching fire led to Ukrainian Boeing 737 crash in Iran - airport official representative
rt.com
Haya soma hiyo uje uandike ulichoadika
Kwa hio chombo gani cha habari kiko Neutral?

dodge
 
Iran baba Lao
FB_IMG_1578322517179.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi wa kimarekani ambao idadi yao ni kati ya 30 hadi 80 wanasadikiwa kuuwawa kinyama katika shambulizi lililofanywa na jeshi la mashujaa wa Iran,

Aksante Iran.
Aksante = Ahsante
Leta source ya habari na ole wako iwe westerns media
 
Kati ya wanaume wa kiislam/kiarabu,waliobaki kwa sasa duniani ni irani pekeake,hata kupiga hayo makombora 15 ni ujasiri wa hali ya juu,ukiondoa russia,china,na north korea,,hakuna mwingine anaeweza kulipa kisasi,hata kurusha risasi moja kwenye himaya ya usa,,iran imewaonya majirani zake wote,ambao wamemkubalia usa kuweka ,,base,, zake,kuwa watakuwa target ya kwanza kushambuliwa,,SWALI,,je mataifa ya kiarabu yako tayari,raia wake wafe,majengo marefu yaporomoshwe na makombora ya iran,amani ichafuke na uchume uyumbe,kwa ajili ya maslahi ya USA?ili hali huko usa raia wake wanastarehe hawana bugdha yeyote...

Sent using Jamii Forums mobile app
iran sio waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio chombo gani cha habari kiko Neutral?

dodge
BBC, French 24, TRT World, Africa news, TVGE, na vingine kibao.
.
Fatilia nini kilifanya RT - UK RT -america, RT - FRANCE na RT - Arabic vianzishwe ukipata jibu jaribu kuitazama RT - International ni FTA kabisa 24Hrs ni habari za America america america.
.
Muda huu saa 10:15 ni habari kuhusu PM wa Iran kunyimwa visa na maandamano ya baghdad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom