Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,468
- 9,208
Miji kadhaa nchini Iraq inakabiliwa na kitisho cha kushuhudia upungufu mkubwa wa nishati ya umeme baada ya Iran kupunguza kiwango cha gesi inayosafirishwa kwenda nchini humo.
Wizara ya nishati ya nchi hiyo imesema wiki mbili zilizopita Iran ilipunguza mauzo yake ya gesi kwa Iraq hadi milimita za ujazo milioni 5 kutoka milimita za ujazo milioni 50 kwa sababu ya kusuasua kwa malipo.
Pia serikali mjini Tehran imeiarifu serikali ya Iraq kuwa inalenga kupunguza zaidi kiwango cha usambazaji wa gesi hadi milimita za ujazo milioni 3 iwapo Baghdad inatishindwa kulipa deni inalodaiwa Siku ya Jumanne
Waziri wa nishati wa Iran Reza Ardakanian amepangiwa kufanya ziara mjini Baghdad kujadiliana na mwenzake wa Iraq namna nchi hiyo inaweza kulipa deni la huduma ya gesi kutoka Iran.