Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 4,548
- 4,125
Iran's enriched uranium stockpile to surpass 300 kg from June 27: AEOI spokesman
Habari ndio hio, Iran anaelekea kwenye Nuclear.
Habari ndio hio, Iran anaelekea kwenye Nuclear.
Kweli kabisaUgomvi wawababe shida sana
Kweli kabisa
Neither US, nor any other bold enough to attack Iran: Senior IRGC commander
Wed Jun 26, 2019 06:50AM [Updated: Wed Jun 26, 2019 07:08AM ]
Neither US, nor any other bold enough to attack Iran: Senior IRGC commander
A senior Iranian commander says neither the US nor any other country is bold enough to stage an act of aggression against the Islamic Republic.www.presstv.com
NK alimiki nyuklia bomb mwaka 2001 US waligundua 2018 hapo ndo ujue kua watu wapo serious na wasiri sanaNawaaambia leo, maneno yako mengi but apart from Israel no other regim in middle east watamiliki Nuclear...hizo ni habari za gahawa tuu ambapo wakubwa wanajua ukwel uko waap
dogo hivi Pakistan ipo wapi kama c Middle East.Nawaaambia leo, maneno yako mengi but apart from Israel no other regim in middle east watamiliki Nuclear...hizo ni habari za gahawa tuu ambapo wakubwa wanajua ukwel uko waap
Kuna watu hapa ndugu wanadhani USA anaona kili kitu, angekuwa ana ona kila kitu drone yake ya 200Million$ isinge shushwa kwa shabaha moja tu.NK alimiki nyuklia bomb mwaka 2001 US waligundua 2018 hapo ndo ujue kua watu wapo serious na wasiri sana
US anajitahidi sana kupeleleza ili.kujua kuna nn nchini kwako ila kwa mataifa masenzi kama NK China na Iran wanaamua na kutunza siri zao mwisho wa siku washamiliki silaha!!Kuna watu hapa ndugu wanadhani USA anaona kili kitu, angekuwa ana ona kila kitu drone yake ya 200Million$ isinge shushwa kwa shabaha moja tu.
Kabisa kabisa maneno yako kweli kabisa, nimecheka kusoma express wanasema Iran wanamuita Trump mentally retarded 😁US anajitahidi sana kupeleleza ili.kujua kuna nn nchini kwako ila kwa mataifa masenzi kama NK China na Iran wanaamua na kutunza siri zao mwisho wa siku washamiliki silaha!!