Iranian Warships Dock in Sudan in Show of Supoort! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iranian Warships Dock in Sudan in Show of Supoort!

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Oct 31, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Report: Iranian warships dock in Sudan in show of support

  By the CNN Wire Staff
  updated 8:05 AM EDT, Tue October 30, 2012

  (CNN)
  -- Two Iranian warships have docked in Sudan carrying "a message of support and friendship," Sudanese state media said.


  The ships arrived in Port Sudan on Sunday and will stay until Wednesday, according to SUNA, the official Sudanese news agency.

  The presence "clearly shows the solid support of political and diplomatic relationships between the Sudanese and Iranian navies," the agency quoted Sudanese army spokesman Savarmi Khaled Saad as saying Monday.

  The warships arrived less than a week after a weapons factory in Khartoum was bombed, killing two people, in what Sudanese officials said was an airstrike by Israel.
  Sudan blames Israel for weapons factory blast


  Israel has declined to comment on the attack in the east African country. No one has claimed responsibility for the bombing last Tuesday.

  The Sudanese Foreign Ministry issued a statement Monday condemning what it called "a brutal assault carried out by the State of Israel" on the Yarmouk Industrial Complex, SUNA said.

  It also dismissed suggestions that the weapons factory was manufacturing arms for Iran or its allies, denying "any link between the Sudanese military manufacturing output and any external party," according to SUNA
  The statement accused Israel of using "misleading leaks" to the media to allege that the factory had ties "to the states of Iran and Syria and to the Islamic Resistance Movement in Palestine (Hamas), and to Hezbollah in Lebanon."
  Iran has no need for weapons to be manufactured in Sudan, the Foreign Ministry statement insisted.
  That assertion was repeated Monday by IRNA, Iran's state-run news agency.

  Iran last week condemned what it also says was an Israeli airstrike on Khartoum, and it called the strike a clear violation of international laws, according to the news agency.

  An Iranian flotilla that left Iranian waters in September included a navy helicopter carrier and a destroyer, IRNA reported.

  It "aimed to echo the message of peace and friendship to the neighboring states and guarantee security of the seafaring and shipping lines vis-a-vis sea piracy," the news agency said.

  [​IMG][​IMG][​IMG]

  My Take:Iran naona wanaonyesha msuli,ikiwa na maana kwamba wana uwezo wa kupambana na Israel kulinda interest zao pamoja na nchi marafiki.
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Wairan naona nao wamejindaa sana na hizi issue...
  The Hindu : News / International : Khartoum attack escalates Iran-Israel covert war
  Netanyahu: A War on Iran Would Be Good for Arabs -- News from Antiwar.com

  Kiukweli,Iran wana teknolojia kubwa sana kwenye issue za drones,sina uhakika kama walichukuwa ama kuiiba hiyo teknolojia pale walioishusha drone ya wamarekani salama bila kuiharibu na bila ya wamarekani kuiharibu...
  Iran Drones Reached Israel By The Dozens, Claims Military Official

  Wairan ambao drone yao moja ilitunguliwa na Israel,wanadai kuwa drones zao zimekuwa zikiingia Israel "All the times",chini ni picha za drones hizo za wairan...
  [​IMG][​IMG]
  Chini ni drone ya wamarekani ambayo Wairan waliimanipulate wakaishusha Iran kama vile ni ya kwao...
  [​IMG]
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Chini ni kiongozi wa kundi la Hezbollah , Hassan Nasrallah,ambaye amedai kuwa drone hiyo waliyoirusha kwenda Israel ni made in Iran...
  [​IMG][​IMG]
  Hezbollah confirms it sent Iranian-built drone over Israel | Israel & Middle East | World | News | National Post
   
 4. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sasa mzunguko wote huo kutoka iran hadi sudan waisrael hawakuiona hii meli????
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Hata kama waliiona sidhani kama wako kwenye nafasi ya kuwashambulia Iran kwasasa.

  Na ugomvi mkubwa kati ya Obama na Netanyahu,ni kwamba Netanyahu alitaka kibali cha Obama Iran ishambuliwe kabla ya uchaguzi mkuu wa marekani,Obama alikataa.Sidhani kama watathubutu kwenda kichwakichwa,wanaweza kuumbuka na badala yake Taifa lao likawa hatarini zaidi.

  Kwasababu hizo drones,wairan wanadai zime pin point maeneo ambayo Israel nao wana sites za nuke!
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Duh! yaani kama mzaha vile lakini Iran anaonekana yuko serious! nimekupata mkuu tusubiri kuona miamba nayo
  inaineshana ubabe, sisi tumeshamalizana na mama banda tuwaachie wenzetu sasa!!!
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Iran Mjinga. Kushindana na USA kwa kijeshi ni kupoteza muda na pesa.

  Jamaa bajeti yao ya kijeshi inatisha na ni kweli kama alivyosema Obama kwamba, ukiunga bajeti za mataifa 10 bora duniani, bado unakuwa hujafikia bajeti ya USA kwa kijeshi.

  Ndiyo maana Mchina kajikalia kuwabana USA kiuchumi kwanza na sasa ndiyo anafungua msuli wake KIJESHI.

  Iran kwa sasa wanambana kiuchumi. Njaa ikizidi nyumbani kama Mkorea Mkoministi, wenyewe watashika adabu.

  US siku zote utapigana nayo kiuchumi tu, ila kijeshi una hali mbaya. Ngoja aje kichaa Romney na ugonjwa wake wa ROMNESIA ndiyo Iran watakoma maana ushirika wa Romney na Netanyahu, mtu atalizwa bila kujali kuwa USA nayo yaweza kulizwa.
   
 8. Edzeame

  Edzeame Senior Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima Sikonge na wenzenu mukabali kuwa ugaidi wa iran unalewa na kuimarishwa na Marekani. Tazama teknologia ya drone ya Marekani wameiga magaidi wa Iran baada ya drone yao kuanguka huko. Kwa kweli marekani pia inachangia pakubwa kwa kuongezeka kwa ugaidi duniani. Sidhani Serikali ya marekani ina suluhisho kwa kuongezeka kwa visa vya ugaidi kwanza ukizingatia matokeo ya uvamizi syria na afghanistan sababu magaidi wamepata nguvu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,508
  Trophy Points: 280
  baada ya kuona kuna uwezekano wa romney kutoshinda urais na kuona wairan wamejiandaa kukabiliana na shambulio lolote.mabwana vita wa israel wamepunguza vitisho vyao kwa irani.
  Kwa mjibu wa gazeti la Telegraph leo waziri wa ulinzi wa israel Ehud Barak amesema kuwa inaonekana iran imeahirisha mpango wake wa kutengeza silaha za nuclear kwa sasa.hii na kwa mjibu wa gazeti la Newyork time la leo.
  Je ,yawezekana wanasave face baada ya kuona ngoma ni nzito kama wataishambulia iran bila msaada wa marekani.
   
 10. chash

  chash JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wa israeli wameshafanya kitu saa nyingi Iran hawajui tu. Wakigundua utawasikia watakavyo wika. Israel hawawezi kunyamaza ina onyesha wameridhika na hali jinsi ilivyo
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,054
  Likes Received: 4,620
  Trophy Points: 280
  Iran is just a CUP of TEA to USA....

  Don't even think that Iran itamkazia msuli USA.... never.... ITAKUWA MAJIVU LIKE SUDANESE WEAPON FACTORY BUILT BY IRAN.... ilikuwa majivu na within secs.... hadi leo SUDAN hawajui ndege za SUPERSONIC SPEED... zimetoka wapi.... wamebakiwa na majivu...

  Jamani.... stop... say something else not USA....
   
 12. escober

  escober JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nilikuwa naangalia mazoezi ya kijeshi ya Iran hawa jamaa wako vizuri na ikitokea vita na myahudi itakuwa balaaa labda mmarekani amusaidie mtoto wake la sivyo israel itakuwa na wakati mgumu sana
   
 13. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Vita kubwa hii sio mchezo kila mtu anatanua misuli yake na kila mtu anatafuta mshirika wake.Na kila muda unapokwenda ndio nguvu zinaongezeka.Ila kwasasa kinachoendelea ni kukandamizana kiuchumi na matokeo yake hayaendani na makusudio kwa mfano Iran inawekewa vikwazo kila baada ya miezi michache lakini matoeo yake ni kuzigusa na nchi zao wenyewe.Na ukweli ni kwamba kipindi hichi kila nchi inaongeza bajeti kwenye jeshi zaidi ili kulinda maslahi.EU,USA na Canada kote huku ni kubaya kimaisha na makampuni mengi yamefungwa au kuuzwa China.Products nyingi sasa hivi zinazouzwa madukani ni mchina na homeless wanaongezeka.Sasa nadhani wazungu hali hii watashindwa kuvumilia na pengine wanaweza kuzipiga wakati wowote huku wakijua kama ni patapote
   
 14. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  israel ikijiloga kupiga iran itakuwa ndo mwisho wake kwani vikosi vya iran vitamimina maelfu ya makombora na ndo utakuwa mwisho wa israel
   
 15. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2015
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,323
  Likes Received: 3,119
  Trophy Points: 280
  Hii meli ya kivita mbona inaonekana kama imetengenezwa kwa madebe ya Gerezani ambayo yameshabonyea? Naona kama wala huhitaji torpedo kuizamisha, hata mkuki wa kimasai utaitoboa!
   
 16. k

  kamili JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2015
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Nguvu ya Israel ipo Marekani, vinginevyo ni taifa la kawaida tu.
   
 17. ze kokuyo

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2015
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 4,597
  Likes Received: 4,723
  Trophy Points: 280
  hahahahah
   
Loading...