Iranian President in Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iranian President in Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Feb 24, 2009.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iran's President Mohammed Ahmedinejad arrived in Kenya on Monday on a four day visit.This comes barely three days after Turkish President also left Kenya.Keny is on the spotlight ast it is Perceived as the second country where you can trade with great profits after South Africa.Iranian president will commission a power generation plant on the outskirts of nairobi and will sign other trade related treaties with President Kibaki.Kenyan's can now travel to turkey without visa's and the same path is likely to happen to Kenyan's travelling to Tehran.on the table will also include Iran helping Kenya to built a Nuclear power plant before 2020.

  Wakenya hawa...tutawafikia kibiashara?They are very cunning.They entice Obama (Their son) to bring them Tourist Dollars at the same they Entice America's greatest enemy {IRAN }to bring them Petro Dollars and built a Nuclear plant for them.

  sisi Watanzania tunangangania Wachina.......wenye ukatili na mawazo ya Nyerere........kumbuka pia biashara ya Kenya na Uchina ni kubwa mara tatu kuliko ya Tanzania na China.

  Mbona tunalalia masikio Watanzania
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kenya wakifanikiwa kujenga mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia vitonoradi (nuclear power) watakuwa wamepiga hatua kubwa sana, huenda wakaweza uza huo umeme kwa nchi zilizo jirani pia. Niliona Mheshimiwa PM Raila Odinga akizungumzia hilo kuwa atafanya juu chini wafanikiwe.

  WaTZ bado tunaangalia kupata mitambo ya Dowans ili kuongeza umeme, sijui tuna mipango gani endelevu ya kuja kuachana na umeme unaozalishwa na maji na mafuta. Sisi mipango inakuwa kibao tunapokuwa na tatizo la umeme, hasa wakati wa mgao, utasikia kila mbinu ya kupata umeme, mambo yetu ni Zimamoto!.
   
 3. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tanzania tunatoa mimacho tu, tena mimacho mikuubwaaa. nuclear tunayo, we have everything lakini hatujui kutumia. hatuna ile roho ya ushindani. nategemea walioshika rungu, wakiona kenya wanafanya vitu kama hivyo, watashikwa na wivu mzuru kuwa washindani na sisi tufanye kitu wenzetu watuonee wivu.
   
 4. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Mkiendelea kukienzi chama na kuhakikisha kinaendelea kushika patamu, basi malalamiko yatakuwa ndiohaya kila siku.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hahaha, ni kweli. mara nyingi tu utakuta watu wanasema kidumu chama cha..., zidumu fikra za mwenyekiti wa....., lakini wakishapata uongozi tu, virungu vinaanzia kwa wanafunzi chuo kikuu, wanakuja kumalizia kuiba pesa za uma. ikibakia muda kidogo wa kampeni wanaleta tshirts na kanga, na alfu kumikumi kwa watu ili wapate uongozi tena. ni kama igizo la kwenye luninga vile...
   
Loading...