Iran yavunja mkataba wa nyuklia kwa kurutubisha Uranium licha ya kuonywa

Tatizo kubwa linalowasumbua wote hawa ni hali za kiuchum kuwa tete,lait km Israel au hao mabwana zake wangelikua wapo vzr kiuchum kuweza kufadhili vita vya muda mrefu bila shaka wangelikua wameshalibwaga lkn tatizo hakuna ambaye yupo tayar kuingia kwenye hiyo vita ambayo bila shaka haitokua ya muda mfup.
Iran kaanza hayo mambo toka lini na chumi zoa zimeanza kuyumba lini iran mwamba mkuuu
 
Nieleweshe mkuu
Marekani na waitifaki wake hawapo vzr kiuchum na ndio maana Israel ingawaje anatumia nguvu kubwa kuomba Iran apigwe lkn hao mabwana zake hawaonyesh ushirikiano ukizingatia hiyo vita yaweza kuwa ya muda mrefu na Israel kwenda mwenyewe bila ya ufadhili wa mabwana zake haiwezekan. Nilimaanisha hv.
 
Back
Top Bottom