fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
Mwisho wa siku ngalawa inarudi taratibu kwa kufuata upepo Adi US!!Mi mwenyewe nimecheka kishenzi mkuu. Wapo tu bahari kuu wanapiga picha.
Mwisho wa siku ngalawa inarudi taratibu kwa kufuata upepo Adi US!!Mi mwenyewe nimecheka kishenzi mkuu. Wapo tu bahari kuu wanapiga picha.
Ata iyo drone Trump kasema wameitunguwa ikiwa kwenye anga huru!
Hahahah. Watakuwa wamechoma mafuta bureMwisho wa siku ngalawa inarudi taratibu kwa kufuata upepo Adi US!!
Mitalii yenyewe MibwabwaHahaha. Sasa kama meli yao USA ipo km10,000,000 kutoka kwenye bahari/teritorry ya iran si watalii to hao
Nawaona timu marekani wanavyolia humu mkuu aibu sanaAibu sana m-dege wote huu Umeshushwa chini ....dah! !!!View attachment 1132679
Hana kitu huyoTrump ashatoa kauli huko kuhusu hii kitu sasa tusubir response atafany nn
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!Trump ashatoa kauli huko kuhusu hii kitu sasa tusubir response atafany nn
Hizo kauli tumesha zizoea. ...hata NK alikuwa ana wa piga hivyo hivyo mkwara --lakini mpaka sasa ameufyata mkiaTrump ashatoa kauli huko kuhusu hii kitu sasa tusubir response atafany nn
Hawana jipya -- baadhi ya Mataifa yalisha wasoma na kuujua u'dhaifu --- so sasa hivi akiingia kichwa kichwa lazima a-aibishweNawaona timu marekani wanavyolia humu mkuu aibu sana
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!
Borders are our redline, and any enemy violating these borders will not go back,” Salami continued.View attachment 1132784
Mzigo wa maana
View attachment 1132788
Duh
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!
Borders are our redline, and any enemy violating these borders will not go back,” Salami continued.View attachment 1132784
Mzigo wa maana
View attachment 1132788
Duh
Duh watali tena si waje kwa mjomba jiwe tupate pesa!
Mwisho wa siku ngalawa inarudi taratibu kwa kufuata upepo Adi US!!
Hivi mkuu sababu hasa ya Sadam Hussen kupigana na Iran miaka ya 1980 ilikua ni nini?Iran baada ya kuondolewa Shah madarakani na ubalozi wa marekani Tehran kuvamiwa na wafanyakazi wake wote kutekwa, marekani ilijaribu mara nyingi kuivamia Tehran ili kuwakomboa diplomats wao lakini walishindwa mara zote na Iran ya wakati huo ilikua kama imesambaratika. Marekani iliamua kuitumia Iraq kuwapiga wa Iran na mwishowe walishindwa. Uadui wa Israel dhidi ya Iran haujaanza leo mkuu.
Haha!!Nawaona timu marekani wanavyolia humu mkuu aibu sana
Tena alikua akishirikiana moja kwa moja na kibaraka wao Saudi Arabia.Israel hakua peke ake alikua na baba yao US! Na US pekeeake ni sawa na Bara zima LA Africa
Mkuuu!!Mwisho wa siku ngalawa inarudi taratibu kwa kufuata upepo Adi US!!