Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

Trump ashatoa kauli huko kuhusu hii kitu sasa tusubir response atafany nn
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!
Borders are our redline, and any enemy violating these borders will not go back,” Salami continued.
1132784

Mzigo wa maana
1132788

Duh
 
Duuuh mkuu mbona Iran wana kauli za kibabe
Kasema Iran wamefanya kosa kutungua mzigo wa pesa nyingi Sana Iran nao wamejibu kuwa kicheche yoyote atakaye ingia ndani ya mpaka wao hatarudi au nimetafsiri vibaya wa jameni!!
Borders are our redline, and any enemy violating these borders will not go back,” Salami continued.View attachment 1132784
Mzigo wa maana
View attachment 1132788
Duh
 
Iran baada ya kuondolewa Shah madarakani na ubalozi wa marekani Tehran kuvamiwa na wafanyakazi wake wote kutekwa, marekani ilijaribu mara nyingi kuivamia Tehran ili kuwakomboa diplomats wao lakini walishindwa mara zote na Iran ya wakati huo ilikua kama imesambaratika. Marekani iliamua kuitumia Iraq kuwapiga wa Iran na mwishowe walishindwa. Uadui wa Israel dhidi ya Iran haujaanza leo mkuu.
Hivi mkuu sababu hasa ya Sadam Hussen kupigana na Iran miaka ya 1980 ilikua ni nini?
Maana mpaka leo mimi nmeshindwa kabisa kuelewa lengo la vita ile iliyo chukua miaka 8 mpaka Sadam akatumia silaha za kemikali lakini dunia yote ikamfumbia macho.
 
Israel hakua peke ake alikua na baba yao US! Na US pekeeake ni sawa na Bara zima LA Africa
Tena alikua akishirikiana moja kwa moja na kibaraka wao Saudi Arabia.
Baada ya vita kuisha Saudi Arabia akapewa control ya nchi zote za kiarabu na kuzigeuza nchi hizo kama makoloni yake.
 
Back
Top Bottom