Iran yatungua Drone nyingine

neo1

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
577
838
Habari toka vyanzo tofauti ni kuwa Iran imetungua drone nyingine ambayo illingia kwenye Anga lake.

Marekani kwa upande wake imesema haijapoteza Drone yake yoyote.

Iran imesema imechukua mabaki ya ile drone kwa uchunguzi zaid!.

Drone ilikuwa inatembea kwa chini sana na iran imetoa video yake.

Taarifa zaid na video

Hii Habari Inawauma Sana Team Flan Flan Ila Kama US Wamekanusha Soon Ushahidi Utapatikanika
 
Wanaugulia maumivu! Muda si muda watasema
Muajemi siyo kama waarabu wanaojikalia barazani kuvuta shisha na kunywa kahawa.

Iseael inasahau kuwa inapambana na vitukuu vya Darius the Great, Cyrus the Great, na ma-genius wa mwanzo kabisa kuleta civilisation duniani.

Na mpaka sasa Iran inafanya mambo makubwa ambayo hata mrusi hajathubutu kufanya.

Kwa Iran, ukisogeza pua anapiga. Kuleta mipasho na taarabu amewaachia wazungu.
 
Back
Top Bottom