BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,148
- 2,160
Iran fires missiles against 'terrorist bases' in E. Syria in retaliation for Tehran attacks (VIDEO)
Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka 30 Iran Jana usiku imevishambulia ngome za waasi IS kwa makombora ya Ballistic tokea uko Iran na kuangamiza silaha zao,kuua waasi nk nk....Wataalamu wa Mambo wanasema hii ni kutuma ujumbe kwa US na washirika wake kua Iran inauwezo wa kurusha makombora na Ku hit target away from Enemy territories.... Ikumbukwe US alishafanya hivyo kwa kurusha [HASHTAG]#Tomhawk[/HASHTAG] cruise missiles
Russia nae kwa [HASHTAG]#Karib[/HASHTAG] cruise missile sasa
Iran nae karusha [HASHTAG]#Zulfagar[/HASHTAG] Ballistic missiles
Apa inaonekana kua hawa watu wanatambiana uko Syria na imekua ni testing range kwa makombora ya masafa marefu.....Pia wengine wanasema huu ni ujumbe tosha kwa Saudi Arabia kua Iran mkiingia Vitani itabaki Maka na madina tu