Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

Iran itakuwa anasingiziwa mengine, kama ni kweli zimeshambuliwa itakuwa na Mrusi anajibu mapigo kwa msaada wa US huko Ukraine. Kwa huu muda Iran akiwa busy ku negotiate mkataba wa mambo ya nuclear simwoni akiweza kufanya mambo ya namna hii.
utamuona tu MKUU
mpak anajitangaza c angekanusha tuuu ama?
 
Kuna baadhi wanasema katumwa na Putin, kambi hizi zilikua zikishambuliwa na viroketi kutoka kwa wanamgambo kipindi cha nyuma ila jana Iran kapiga kabisa direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi hizo kwa short range Ballistic Missiles, air defense kutungua ballistic missiles ni ngumu sana kutokana na speed yake
Huwa wanafanyaje kuzizuia?
 
Back
Top Bottom