Iran yapata mashambulizi mawili ya kimtandao katika miundombinu ya sekta za usafirishaji

Mkuu mbona marekani alidukuliwa mfumo wake wa uchaguzi? Kudukuliwa ni kawaida maana hata hao israel wana dukuliwa kama kawaida!!

Unadukuliwa mitambo ya vinu vya nyuklia unasema kawaida???? Utakua una kasoro kwenye mbichwa....wajomba wanaweza wakadukua mitambo yako kisha watume mabomu yako yenyewe kulipua miji yako.
 
Marekani pia imeshambuliwa mara nyingi hizo issue za hacking (cyber attacks) especially from Russia bro kubalini kataeni Iran is very unique and powerful Asian/Persian/half Arab or Arab state and one of the few complete sovereignty state especially from US and it's allies infuence & imperialism toeni China & Russia Iran inabakia kuwa major threat wa US na its allies acha North Korea ambao wao hawawezi wafikia Iran technologically.
Basi mkuu pokea hio taarifa halafu leta yako
 
Unadukuliwa mitambo ya vinu vya nyuklia unasema kawaida???? Utakua una kasoro kwenye mbichwa....wajomba wanaweza wakadukua mitambo yako kisha watume mabomu yako yenyewe kulipua miji yako.

Labda nikuhoji swali dogo tu: Hivi una habari Taifa la Iran lina RAIA wangapi wenye asili ya kiyahudi? labda tuanzie hapo kabla sijakuhoji swali la msingi, tukiwekea maanani kwamba wewe ujitambulisha kama mbobezi kwenye masuala ya tehama (ICT).
 
Back
Top Bottom