Iran yapata mashambulizi mawili ya kimtandao katika miundombinu ya sekta za usafirishaji

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Mziki wa Israel kwa Iran hauchezeki eti! Dah.

Hackers broke into the website of the Iranian Transportation Ministry, and the site was soon taken down, multiple Hebrew media sources reported on Saturday (July 10, 2021) citing the IRNA Iranian official news agency. Iran state television called it a "cyber disruption," a day after an apparent cyberattack on the state railway company.

Computer systems of the staff of the Ministry of Roads and Urban Development were the subject of the attack which resulted in the ministry's portal and sub-portal sites becoming unavailable, the TV channel reported.

The purpose behind the attack is unknown, but is currently under investigation. This marks the second day in a row that an Iranian government website has been hacked, as on Friday, train services were disrupted in Iran due to a comprehensive cyberattack, the with hackers posting the phone number of the country's supreme leader Ali Khamenei as the number to call for information.

Meanwhile, trains in the country were delayed or canceled altogether since Friday, as ticket offices and cargo services have been disrupted.

Hackers have reportedly been posting fake delay notices on station boards, but the government-run railway company said only the displays had been affected and that trains ran normally.

Telecommunications Minister Mohammad Javad Azari-Jahromi warned on Saturday of possible ransomware attacks unless vulnerabilities in computer systems were dealt with, Iranian news outlets reported.
In late 2020, Iran said hackers launched large-scale attacks on two of its government institutions, without giving details on the targets or the suspected perpetrators.

Iran says it is on high alert for online assaults, which it has blamed in the past on the United States and Israel. The United States and other Western powers meanwhile have accused Iran of trying to disrupt and break into their networks.
FB_IMG_1626202288991.jpg
 
Watu wanacho sahau no kwamba Iran si taifa LA kuchezea chazea kwenye masuala ya sayansi na teknolojia - muda si mrefu watalipiza kisasi.

Juzi hapa niliona kinu cha Nuclear reactor cha huko Israel kimelipuliwa lakini vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi vipo kimya kabisa!!
 
Watu wanacho sahau no kwamba Iran si taifa LA kuchezea chazea kwenye masuala ya sayansi na teknolojia - muda si mrefu watalipiza kisasi.

Juzi hapa niliona kinu cha Nuclear reactor cha huko Israel kimelipuliwa lakini vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi vipo kimya kabisa!!
Inapotokea taifa teule limeathirika kwa hujuma au tatizo LA kiufund kwenye mirad yake mara nyingi hizo habar hutolewa bila ukamilifu au hazitolewi kabisa na vyombo vikubwa vya kimagharibi
 
Inapotokea taifa teule limeathirika kwa hujuma au tatizo LA kiufund kwenye mirad yake mara nyingi hizo habar hutolewa bila ukamilifu au hazitolewi kabisa na vyombo vikubwa vya kimagharibi
There you are - BRAVO, kitu kingine ni watu wangapi Duniani wanajua kwamba: media kubwa (magazeti na Television Channels popular), Big Banks pamoja na Military Industrial Complexes vitu vyote tajwa hapo juu wamiliki wake wakubwa ni Wayahudi!! Utategemea nini, wanavitumia kikamilifu kuendeleza agenda zao za siri kwa kutetea/unga mkono ukatiri na uonezi unao fanywa na Wayahudi wanao ishi Israel-wana watetea unconditionally hata Serikali nzima ya Merikani hipo mfukoni mwa Wayahudi matajiri wanao ishi huko Merikani.
 
Majamba au mashambulizi? kama ipo vizuri zi ingejilinda? mara bili nda ya siku2
Marekani pia imeshambuliwa mara nyingi hizo issue za hacking (cyber attacks) especially from Russia bro kubalini kataeni Iran is very unique and powerful Asian/Persian/half Arab or Arab state and one of the few complete sovereignty state especially from US and it's allies infuence & imperialism toeni China & Russia Iran inabakia kuwa major threat wa US na its allies acha North Korea ambao wao hawawezi wafikia Iran technologically.
 
Back
Top Bottom