Iran yamkamata jasusi wa Mossad

kama watu wanaingia iran wanaua wanasayansi mchana kweupe kbs ndan ya iran kbs tena barabaran tech gan wanayo waajemi ambayo myahudi haijui na uwenda hata tech za iran myahudi hzo field alshapga ktambo yuko level zngn uko.
hakuna intelligence services ambayo ipo makini kwa 100% ndio maana hata Israel pamoja na kuizunguka Gaza lkn bado kuna silaha zinapenya

Alafu wanasayansi wa iran wanaishi social saana na huwa wanaona ni ufahari kufa shahidi
 
Hivi watu huwa wanaichukuliaje uajemi (Iran)? Wanajua ndo dola kongwe duniani? Je wanajua kuwa asili ya race ya mzungu ni muiran alizaa na mhindi ndo akatokea mzungu? Mnadanganywa sana na imani za kidini
 
Habari imekaa kishambenga sana. Source hamna umejitungia

Halafu umkamate jasus wa mossad kizembe namna hiyo na netanyahu anawaangalia tu. Hebu toka hapo masjid rudi nyumbani ukanywe uji kwanza.
 
Mwenye link wamempa ban
huyu kaja na mengne ya kwmb wanasayansi wa iran wanaish social tu ktaa ndo myahudi anawafyeka krahisi eti pia hao wanasayans wanapenda kufa kwa style hiyo. Ndo nimemwambia alete link ya haya aliyoyasema kayajulia wp wkt yupo hapo vingunguti au aliwahi kuish tehran aseme hapa.
 
Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki

Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika eneo la kaskazini magharibi mwa nchi.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki amesema jasusi huyo wa utawala wa Israel na majasusi kadhaa wa nchi zingine wamekamatwa katika oparesheni ya maafisa wa usalama mkoani humo.

Akizungumza na waandishi habari Jumatatu, amesema hakuna kundi lolote la magaidi wakufurishaji katika mkoa huo lakini hakutoa taarifa zaidi kuhusu idadi ya majasusi waliokamatwa au uraia wao.

Hali kadhalika amesema katika miezi ya hivi karibuni pia majasusi wengine kadhaa waliokuwa wanatumikia mashirika ya kijasusi ya kigeni wamekamatwa mkoani humo.

Agosti 2020, maafisa wa usalama wa Iran waliwakamata majasusi kadhaa wa mashirika ya kijasusi ya kigeni nchini.

Akizungumza wakati huo, afisa mwandamizi wa Wizara ya Usalama alitangaza kuwa wamesambaratisha timu tano za majasusi na kusema kukamatwa majasusi hao kulikuwa pigo kubwa kwa madola ya kibeberu duniani.

Afisa huyo alisema mashirika ya kijasusi ya kigeni yanatumia mbinu za kiwango cha juu ili kupata taarifa muhumu katika sekta mbali mbali nchini Iran hasa sekta ya za nyuklia, kijeshi, kisiasa, kiuchumi na miundo msingi.

Aliongeza kuwa majasusi hao wanatekeleza shughuli zao chini ya usimamisi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani (CIA), shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad na mashirika kadhaa ya kijasusi ya nchi za Ulaya.

My take:Sipachi picha kitu huyo mwisrael atafanywa huko Iran

View attachment 1745354
Kwahyo huyu anajua kupigana?.
 
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
 
Pole saana ndugu umefanya maamuzi sahihi kumlipoti huyu maulamaa mwenzetu
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
 
kama watu wanaingia iran wanaua wanasayansi mchana kweupe kbs ndan ya iran kbs tena barabaran tech gan wanayo waajemi ambayo myahudi haijui na uwenda hata tech za iran myahudi hzo field alshapga ktambo yuko level zngn uko.
Wanauliwa maraisi marekani je mwanasayansi wa Iran? Kwani kuuwa ni timing tu mkuu
 
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
Usituletee mambo ya fb humu, ww una uhakika gani kama ni yeye, nenda fb huko kwa watoto wenzako
 
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
Duuuuuu!!!!!!! Mmefika mbali sana wadau, tunapotofautiana humu jamvin tuwe tunavumiliana
 
Wakuu
kwa mshangao na maskitiko makubwa huyu kimsboy baada kwenda kule fb akasearch jina langu akalipata el ohinu ksha akachukua pcha zng kama 3 akazleta humu kwny post yake hii huku aktamba kwmb taikmbia mwanza nisjdai kujua hyo ni baada ya kum challenge hapa
huyu ndugu kimsboy nimepata taarifa kachukua pch yangu fb na namba yng ya cm iliyoko fb kisha kaenda kwny grp huko fb linaitwa mashoga wa mwanza kapost huko kwamba mimi ni shoga natafuta mwanaume

Hilo grp hata slijui kbs ila taarifa hz nimezpata kwa jamaa mmoja ambaye alinpgia akdai eti mi ni shoga natafuta wanaume nikamdadisi ndo akanambia taarifa kaitoa wp
nimesharipoti polisi jion ya leo nimetoa maelezo na nimepewa rb namba pia jna la aliyepost nimeliwaslisha japo najua hawataweza chunguza lakn itanisaidia kuwa safe.

Ndo hali halisi imenibd nifute akaunt yng ya fb tu japo najua ameshanichafua.
Duh... pole sana mkuu,huyu bwege ana spirit ya kijahidina ya kuua watu ni mpumbavu sana
 
Back
Top Bottom