Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hiiiiiii
Ile haikitunguliwa kwa watu kuilenga bali ni automatic systems waluzojengewa na Warusi. System inayafyatua makombora yenyewe pale inapoona ndege ya kivita ya adui. Sasa cha kujiuliza ni hizo system walizowekewa na Mrusi ni efficient kiaso gani?

Sasa kwenda Iran ni risk kubwa. Mfumo wao wa ulinzi wa Anga ni balaa. Kuna siku mfumo utatungua ndege hata ya Rais.
Huo mfumo umeekwa lini na kabla ya hizi purukushan mbna haukuwahi kuangusha ndege hata moja ?!

IRAN Sio Salama Kwa Maadui Tu Ila Salama Kwa Ndege Yyte Rafiki

Baada ya ndege hii kuangushwa umelipata wapi tena tukio la kuangushwa ndege ya Abiria Hapo Ndani Ya IRAN


Anga La IRAN ni Salama Mnoo Kama Mengine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakushangaz teknolojia ilio behind 32 yrs imetungua ndege yakisasa kabisa iliokua more advance ya 2019
Ni mwaka 1988. Lakini Iran inafanya kosa hilo 2020. Yawezekana teknolojia ya US ya 1988 ndiyo waliyo nayo Uran 2020. Does it mean technologically, Iran is almost 32 years behind US?
Usrahell wajiulize wanakwamia wap kama wanaweza ku2nguliwa na mtt walimpita kiteknolojia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini haikuwa incoming ilikuwa outgoing
Inadaiwa, msimamizi aliyekuwa akisimamia na kuuendesha ule mtambo wa ulinzi wa anga aliiona ile ndege katika radar lakini alidhani kuwa ni cruise missile.

Wakati sasa anajaribu kuwasiliana na makao makuu (control center) ili kupata uthibitisho wa hiyo target aliyoiona akakumbana na jamming kwenye mfumo wa mawasiliano, akitizama muda ni sekunde takribani kumi tu kushambulia ama kuiacha hiyo "cruise missile" aliyoidhania iendelee kukaribia na kupiga target yake hivyo akaamua kujichukulia maamuzi magumu kama haya tuliyoyaona na kuyajadili hivi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini haikuwa incoming ilikuwa outgoing

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ikielekea upande ambapo kulikuwa na kituo chao nyeti cha kijeshi.

Yaani ilibadili uelekeo na kuanza kukikaribia kituo hicho (sensitive military centre) na kama yule operator wa mfumo wa ulinzi wa anga alidhani ni "cruise missile" basi alihisi inakaribia kupiga hicho kituo chao cha kijeshi.

Hayo yote ni kwa mujibu wa maelezo yao.
 
Iran imetangaza kukamata idadi isiyojulikana ya watu kadhaa wanaoshukiwa katika tukio la kuangushwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine nchini Iran, tukio lililoua takribani watu wote 176 waliokuwemo ndani ya ndege hiyo muda mchache baada ya kupaa kwake.

Taarifa kutoka katika kituo cha runinga cha taifa ilisema; "Uchunguzi mkubwa umefanyika na baadhi ya watu wanashikiliwa". Msemaji wa taarifa hiyo hakutoa maelezo ya ziada.

====

UPDATE: Iran announces first arrests in downing of Ukrainian airliner.

Iran's judiciary has announced the arrests of an unspecified number of suspects in the accidental downing of a commercial passenger jet during a major confrontation with the United States last week.

In comments carried by state media, spokesman Gholamhossein Esmaili said on Tuesday that "extensive investigations have taken place and some individuals are arrested". He did not offer additional details. [Al Jazeera]
 
Miili 11 ya waliokufa katika ajali ya ndege ya Ukraine PS752 imekwisha wasili nchini Ukraine hii leo na kupokelewa na viongozi pamoja na wananchi waliokusanyika katika uwanja wa ndege wa Boryspil mjini Kyiv.

Pichani ni mkusanyiko wa awali kabla ya kuwasili kwa ndege yenye miili ya walioathiriwa na kuangushwa kwa ndege chapa PS752 ya Ukraine. Wananchi wakiwa wamekusanyika nje ya uwanja wa ndege wa Boryspil. (Picha: Hromadske International)

====

UPDATE: People have gathered at Boryspil Airport outside Kyiv to honor Ukrainian victims of PS752 tragedy, when the Iranian military shot down a Ukrainian civilian airplane. 11 Ukrainians, 9 crew and 2 passengers, perished in the attack. Their bodies are expected to be returned today.

1579427831300.png
 
UPDATE: Nearly the entire top level of government has gathered to watch the return of the victims from flight PS752 to Ukraine.

1579428627350.png
 
UPDATE: Their bodies of the victims of flight PS752 are driven away as the government watches in honor of the fallen.

1579429539415.png
 
UPDATE: Pilots salute their fallen comrades and honor them with roses at the state ceremony honoring the return of the victims bodies of flight PS752.

1579429687128.png
 
UPDATE: Ukrainian International Airlines staff bring flowers to commemorate the return of flight PS752 victims. The atmosphere is somber as the bodies of the victims are driven from Boryspil airport to Kyiv.

1579429826193.png

1579429950083.png
 
ila siwapendi wale wabinua makalio


Soma wabinua makalio wenzako hawa hapa;-

Hesabu 20:6, ufunuo 7:11, Mwanzo 17:3, Hesabu 24:4, 1samuel 5:3, 1wafalme 8:6, Mathayo 26:39, Luka 24:5, Waamuzi 13:20, Ezekiel 1:28, Mathayo 2:11, Mathayo 17:6, Mathayo 26:39, Luka 5:12, kumbukumbu 9:18, Isaya 15:3, Ezekiel 9:8, Hesabu 22:31, Yoshua 5:14, nk.
 
Soma wabinua makalio wenzako hawa hapa;-

Hesabu 20:6, ufunuo 7:11, Mwanzo 17:3, Hesabu 24:4, 1samuel 5:3, 1wafalme 8:6, Mathayo 26:39, Luka 24:5, Waamuzi 13:20, Ezekiel 1:28, Mathayo 2:11, Mathayo 17:6, Mathayo 26:39, Luka 5:12, kumbukumbu 9:18, Isaya 15:3, Ezekiel 9:8, Hesabu 22:31, Yoshua 5:14, nk.
Hamna Nabii wa kale yeyote aliyewahi kufanya mfanyavyo ninyi umenukuu agano jipya na la kale, kwenye Biblia ya kiingereza kuna matumizi ya neno (fall on his face) hawakuwa wakigonoka makalio juu waamke wagonoke tena.
.
Ndio mana hata Kristo alifanya hivyo kwenye jiwe.
Mtu mjinga ni yule asiyejua lengo la kina othman na Muddy kuanzisha makoran werevu tunatambua kwa juhudi zetu binafsi
.
Quran 2:106. Ishara yoyote tunayo ifuta au tunayo isahaulisha tunailetea iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo mfano wake. Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu?
 
Iran imeutupilia mbali mpango wa kupeleka vifaa vya kurekodi taarifa na mwenendo wa ndege (black boxes) nchini Ukraine.

====

UPDATE: Iran denies plans to send black boxes to Ukraine.

Iran appeared to U-turn over its earlier decision to send abroad the black box flight recorders from the Ukrainian jetliner shot down earlier this month, saying Tehran would first review the audiotapes. [DW]
 
Tehran official says there are 'no plans' to send black boxes to Kyiv for expert analysis - less than 24 hours after he said they WOULD. [Daily Mail]
 
Back
Top Bottom