Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Sasa umepinga nini? Hizo siraha zilitekwa na waasi walipovamia maghala ya silaha uko Donbass sasa Russia anahusika vipi. Yani unataka kusema Russia alifyatua makombora kutungua ile ndege, au unadhani crew ilikuwa imekunywa mbege kama walivofanya U.S mwaka 1988.
Usiwai siti ya mbele tume ilisema pia mtambo ulivushwa toka russia.

Mtambo haiwezekani waasi wakauteka w toka ukraine halafu wakajua kuutumia siku hiyo hiyo,unadhani mtambo ule pikipiki ya boxer.

Waliofyatua ni wa russia wenyewe wakiwa donbass.

Kama lugha haipandi usiangalie CNN angalia TBC1 na Star TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana udin umekukaa nafcn ewe Ibliis
Walibomoa ukuta tu pale teh! teh! Ni hasara iliyoje, kutumia makombora ya mabilioni kubomoa ukuta wa laki mbili!! Huku kombola lingine likienda kuua wairan 145 Kwa kweli Iran kaanza mwaka vibaya.
1. General na wenzake chali.
2. Raia 56 chali kwa kukanyagana msibani.
3. Wairan 145 chali kwenye ndege.
4. Makombora ya gharama kuambulia kubomoa ukuta wa laki mbili.
5. Kombora lililogharamikiwa kwa kodi ya wairan kutumika kuua walipa kodi wenyewe.

Ukiangalia hii hasara yote ya Iran imesababishwa na drone ya US iliyokuwa operated na mwanamke. Mwanamke wa kimarekani kaleta kilio kikuu kwa taifa la Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa Ya Kibinadamu? Kwani nani alisema hayo mabomu yanalindwa na Ngamia.Kwanza watu wengi waliokuwemo umo ni karibu wote Wairan,Ata wale Wakanada wanaowasema ni Wairani Wakimbizi wanaoishi Kanada
Kwa hiyo wewe kwa maoni yako waliidungua kwa makusudi au?
 
huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua

Thinking aloud!
Yaani kama hujui kitu wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Yaani kwa akili ya chini kabisa majasusi ya Marekani 170 wapande ndege moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walibomoa ukuta tu pale teh! teh! Ni hasara iliyoje, kutumia makombora ya mabilioni kubomoa ukuta wa laki mbili!! Huku kombola lingine likienda kuua wairan 145 Kwa kweli Iran kaanza mwaka vibaya.
1. General na wenzake chali.
2. Raia 56 chali kwa kukanyagana msibani.
3. Wairan 145 chali kwenye ndege.
4. Makombora ya gharama kuambulia kubomoa ukuta wa laki mbili.
5. Kombora lililogharamikiwa kwa kodi ya wairan kutumika kuua walipa kodi wenyewe.

Ukiangalia hii hasara yote ya Iran imesababishwa na drone ya US iliyokuwa operated na mwanamke. Mwanamke wa kimarekani kaleta kilio kikuu kwa taifa la Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau hii ilishushwa na vijana wa iran waliokua wanafanya internship pale Tehran.
Screenshot_2020-01-08-12-48-37-1.jpeg

dodge
 
UPDATE: An Iranian missile operator mistook the Ukrainian aircraft for a cruise missile and shot it down, says commander of the aerospace unit of the Islamic Revolution Guards Corps Amir Ali Hajizadeh, adding that the operator had only 10 seconds to make a decision and opened fire independently due to communications jamming. [CGTN]
 
Usiwai siti ya mbele tume ilisema pia mtambo ulivushwa toka russia.

Mtambo haiwezekani waasi wakauteka w toka ukraine halafu wakajua kuutumia siku hiyo hiyo,unadhani mtambo ule pikipiki ya boxer.

Waliofyatua ni wa russia wenyewe wakiwa donbass.

Kama lugha haipandi usiangalie CNN angalia TBC1 na Star TV

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unashoboka wewe. CNN nayo channel ya kuangalia, yani unataka taarifa isiyokuwa biased unachagua mainstream media. Na aliyekwambia waasi wa Ukraine ni vilaza kama wewe ni nani. Wale ni watu wana elimu zao tatizo la magugu maji kama nyie mkisikia watu wanaitwa waasi mnajua ni kama wale wakaa misitu ya Congo. Na huu ni mwisho wa kujibizana na wewe, jaza akili kwanza afu uje.
 
Kweli wewe ni juha,Wanajeshi wa Ujerumani,Spain,UK na Canada wapo Iraq kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa Jeshi la Iraq na si vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ww mkenya nadhani ukipitia coment zako ulizo kuwa unatoa kabla ya Iran kuiharibu kambi ya marekani unajiona boya kweli.
Hivi ulidhani vita ni lele mama eti,kikundi cha alishababu ambacho hata watu wake hawafiki 7000 kipo kinawatoa makamasi alafu uje kuidharau Iran.
 
Naona unashoboka wewe. CNN nayo channel ya kuangalia, yani unataka taarifa isiyokuwa biased unachagua mainstream media. Na aliyekwambia waasi wa Ukraine ni vilaza kama wewe ni nani. Wale ni watu wana elimu zao tatizo la magugu maji kama nyie mkisikia watu wanaitwa waasi mnajua ni kama wale wakaa misitu ya Congo. Na huu ni mwisho wa kujibizana na wewe, jaza akili kwanza afu uje.
Ha ha dogo mitambo ile inachukua miaka kuijua ndio maana Syria mpaka leo wako sbule kutumia S300 ya Urusi unadhani hawataki kumtungua Israel. Iran nao wanazo wako shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ww mkenya nadhani ukipitia coment zako ulizo kuwa unatoa kabla ya Iran kuiharibu kambi ya marekani unajiona boya kweli.
Hivi ulidhani vita ni lele mama eti,kikundi cha alishababu ambacho hata watu wake hawafiki 7000 kipo kinawatoa makamasi alafu uje kuidharau Iran.
Kuharibu ukuta wa laki mbili kwa kombora la Mamilioni ni akili au ujuha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom