lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,681
Akili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Hawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
Akili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Hawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
Wasipeleke tu maana hao boeing hawakawii kusema Kuna bomu lilitegwa.
Usiwe mwepesi wa kufika hitimisho kwa kile usicho na uhakika mkuuAkili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Gawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
Husomi taarifa mkuu!Usiwe mwepesi wa kufika hitimisho kwa kile usicho na uhakika mkuu
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Kama hii ya kwako ni #54 sasa we umejuaje zitafika #252?! Na hata zikifika unajua itaandikwaje?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa inasema taarifa mkuu!Kwani taarifa inasemaje mkuu?
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Hakuna anayeropoka humu tafuta tafsiri ya kuropoka ni nini.Kama hujui acha kuropoka
Boeing waliwaomba B.E.A wawasaidie kufanya uchunguzi au ni kiherehere cha Ethiopia?kuna firm inaitwa BEA "Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la sécurité de l'aviation civile " Kama ulikuwa hujui hata Ethiopia walikataa kuwapa USA ile black boxes ya B737-800 Max.
Yes walizisoma wao, Ethiopia walikuwa wamiliki wa lile dege je Iran ni wamiliki wa hilo dege?Hizo box zilipelekwa Paris na kusomwa na BEA.
There was no need for this and i am sure ni uongo! Huna uwezo huoMuwage mnatumia Google kuacquire maarifa. Yaani iam very well informed internationale. Nikiamka asubuhi lazima nisome RT, Le Figaro, The Guardian. Acheni kusoma magazeti ya Shigongo. Yanawafanya muwe zero brain.
Max ina record nzuri ya safety?Yani mtu anayejifanya mjuaji ni mtu wa ajabu sana.
Hii ndege iliyodondoka Boeing 737 old model unataka kutudanganya ni Boeing 737 max?
.
Muwe mnasoma aisee
Hapana.Max ina record nzuri ya safety?
Nimesema Max au 737-800 tuHapana.
Lakini wewe umeitaja Boeing 737-800 max ndio iliyoanguka huko Iran wakati hii ni brand new na wala sio iliyoanguka
Kilatha sifa ulizozitaja ni za Boeing 737-800 max aliyedondoka hanaNimesema Max au 737-800 tu
Embu tafuta ni model ipi ya ndege iliyoanguka huko na kama inaitwa Max.
Victoire continue learningNa usiwapa utampa.Nani,Maana Manufacture ni Boeng,hata ukimpelekea third party still lazima awe Beong approved kufanya analysis from the black blox,maana tools zinazotumika ni Boeng Propietary....
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Marekani anaua wangapi .Iran Kaua watu 17+ Wasio na Hatia, huyu ni Wa kutandikwa na Dunia Nzima
Wasipeleke tu maana hao boeing hawakawii kusema Kuna bomu lilitegwa.
Ni toleo moja (max) imeongezwa vimbangwa vingine kuonyesha inatofauti. Iliyoanguka ni earlier version ya NG planesKilatha sifa ulizozitaja ni za Boeing 737-800 max aliyedondoka hana