Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

Akili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Gawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
Usiwe mwepesi wa kufika hitimisho kwa kile usicho na uhakika mkuu

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Nilikua nimeishika hiyopost.. nadhani wametenganisha uzi. Ilikua na page 800.

jamaa hamaanishi kwamba ni haki kutungua ndege.. anachojaribu kusema mwaka 1988 hao US walitungua ndege yenye abiria zaidi ya 290 pia.. kama ni unyama US ni mnyama zaidi ya fisi ktk mauaji

Kama hii ya kwako ni #54 sasa we umejuaje zitafika #252?! Na hata zikifika unajua itaandikwaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui acha kuropoka
Hakuna anayeropoka humu tafuta tafsiri ya kuropoka ni nini.
Humu kuna wajuaji and you're one of them.

kuna firm inaitwa BEA "Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la sécurité de l'aviation civile " Kama ulikuwa hujui hata Ethiopia walikataa kuwapa USA ile black boxes ya B737-800 Max.
Boeing waliwaomba B.E.A wawasaidie kufanya uchunguzi au ni kiherehere cha Ethiopia?

Hizo box zilipelekwa Paris na kusomwa na BEA.
Yes walizisoma wao, Ethiopia walikuwa wamiliki wa lile dege je Iran ni wamiliki wa hilo dege?
.
Majukumu ya B.E.A ni haya na si kama wewe udhaniavyo hawana mamlaka na ndege zisizo za ufaransa zilizoanguka nchi nyingine. Mfano Boeing 737-800 max iliyoanguka Ethiopia au Indonesia haziwahusu.
Wana mamlaka na ndege za ufaransa au zisizo za ufaransa zilizopata hitilafu au kuanguka ndani ya anga lao.

Following international rules, French authorities are responsible for investigating all aircraft accidents occurring in French territory or airspace, as well as accidents involving French aircraft occurring in international airspace or in other countries if the local authorities do not open a technical enquiry. They may also assist foreign investigation authorities at their request.

Note: THEY MAY ALSO ASSIST FOREIGN INVESTIGATION AUTHORITIES AT THEIR REQUEST.
swali Ethiopia baada ya kupatiwa majibu ya uchunguzi waliyafanyia nini? Au waliyapeleka Boeing 😝😝😝 ambaki walisema hawakuamini

Muwage mnatumia Google kuacquire maarifa. Yaani iam very well informed internationale. Nikiamka asubuhi lazima nisome RT, Le Figaro, The Guardian. Acheni kusoma magazeti ya Shigongo. Yanawafanya muwe zero brain.
There was no need for this and i am sure ni uongo! Huna uwezo huo
 
Na usiwapa utampa.Nani,Maana Manufacture ni Boeng,hata ukimpelekea third party still lazima awe Beong approved kufanya analysis from the black blox,maana tools zinazotumika ni Boeng Propietary....

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Victoire continue learning
 
Kinachofanya wagome kutoa kibox tushakijua na ndo kitamuingiza ktk mgogoro na Ukraine,
Mjinga mtie hasira atakurupuka
Jamaa itakuwa wamepanic kwa hofu kila ndege wanayoiona usiku wanajua ni ya mmarekani wanapiga tu,wamejikuta wamepiga hyo na kuua watu wake yenyewe,wairan 80 walikuwa ndani ya ndege
Kwani ulikuepo kaka...si watoe tu icho kibox mambo yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilatha sifa ulizozitaja ni za Boeing 737-800 max aliyedondoka hana
Ni toleo moja (max) imeongezwa vimbangwa vingine kuonyesha inatofauti. Iliyoanguka ni earlier version ya NG planes

Bogus kweli

Halafu sio mimi najisemea mtaalamu wa ndege ndio alikuwa anatoa ufafanuzi BBC, ni swala jepesi sana ata wewe ukifanya ka research utaona sifa za hiyo ndege.
 
Back
Top Bottom