Iran yaishambulia Israel na kuahidi kuziangamiza kambi za Marekani

Iran yaishambulia Israel na kuahidi kuziangamiza kambi za Marekani

Hapo Iran imefanya kosa la kiufundi.

Israel ilikuwa haitaki ceasefire, ilikuwa ikitaka mashambulizi dhidi ya Iran yaendelee, lakini ililazimika kusitisha kwa ababu ya Marekani. Sasa imeoata sababu.

Angalia kwenye madhara:
Kombora la Iran kwenda Israel lilidunguliwa na mifumo ya anga, Israel imejibu kwa kuishambulia Iran, na bomu limepiga Iran moja kwa moja bila ya kufunguliwa!

On the ground: Israel is defending against a fresh attack, with CNN’s Oren Liebermann hearing interceptions over Jerusalem. Israel previously struck targets in Iran after intercepting Iranian missiles. Iran, meanwhile, said it was retaliating against Israeli strikes on Beirut.

Iran haijafanya kosa la kiufundi.
Iran ingekaa kimya, Ingepoteza ushawishi kwa Hezbollah. Round hii ya sasa ya mapigano ni muhimu ili ceasefire itakayofuata iheshimiwe na wote!
 
Ile mbinu yao ya kumchemsha chura mara moja ilifeli maana chura alistuka akaruka nje ya sufuria. Safari hii wakaja na mbinu mpya ya kuongeza joto taratibu taratibu huku wakijaribu kumtrick chura aamini atalizoea joto kumbe hapo anamalizwa, Irani imestukia triki hii pia.
Sasa Trump ana wakati mgumu, Hormuz haijafunguliwa, midterms elections zinakuja, World cup inaanza keshokutwa, Congress imeshamuondolea Trump powers za kuendelea na vita Iran. Kitakachofuata hapo ni Trump kukubali tu kuwa Iran imestukia mchezo na hivyo kumwambia Netanyahu stop!
Upo rufiji lakini unajua mipango ya Trump na marekani kushinda hata wao wenyewe?

Wabongo konyo😀
 
Niaje waungwa

Iran huwa hailali na deni, ikiahidi inalipa kwa muda sahihi. Leo hii wanajeshi wa Marekani hawatolala kwenye kambi zao kamwe.

Njia nyingine ya bahari ya Bab el Mandeb kufungwa, na UAE kuchezea kichapo kikali usiku huu.

Hiki ni kisasi cha Israel kuionea Lebanon kama panchi begi la kujifunzia kupiga ngumi.

Update: Baada ya Netanyahu kujifanya kiburi kwa kujibu shambulizi la Iran. Iran imempa tena kipigo Israel asubuhi hii kwa kuzichoma na kuzisagasaga air base mbili za Israel.

Hii nayo mashoga yataficha.
View attachment 3603443
Say no to wars. Give diplomacy a chance.
 
Linasubiriwa lile taifa linalopenda ugomvi liingilie na lenyewe lichezee kichapo haraka sana 🤣🤣🤣
Al Jazeera wanawaambia nyie wairan wa mtogole kuwa Tehran inatikisika huko. Netanyahu kachafukwa anapiga mishimdo mizito huko
Screenshot_20260608-122748.png
 
Iran haijafanya kosa la kiufundi.
Iran ingekaa kimya, Ingepoteza ushawishi kwa Hezbollah. Round hii ya sasa ya mapigano ni muhimu ili ceasefire itakayofuata iheshimiwe na wote!
Wairan wa mtogole nendeni mkasaidie Tehran inatikisika huko, Netanyahu kachafukwa 😀
Uzuri wenu Al Jazeera mnaiamini, ingekua BBC mhhebisha
Screenshot_20260608-122748.png
 
Kwanini hao wavaa kanzu na kobazi wanaruhusu hizo kambi, wakipigwa wanalia lia ovyo. Kelele nyingi wanapelekeshwa na waajemi.
90% ya viongozi wa kiarabu wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya matumbo yao. So acha waajemi wayatumbue matumbo yao mpaka watambue ujinga wao.
 
Hawa jamaa wamalize vita maana huku jamaa wa mafuta wanafurahi sana kusikia vita wao ndio wanapata faida kubwa maana walinyong'onyea sana kuona vita ikiisha na mafuta yatapungua bei..
 
Benja ni myahudi na Haamini katika ukristo!
Wayahudi hawaamini katika ukristo, pia hawaamini chochote kuhusu Yesu Kristo. Hivyo kwa majibu wa biblia hawatouona ufalme wa mbinguni, maana mtu haendi kwa baba bila kupitia kwa Yesu.

Sasa ilikuwaje watu hawa wasioamini wakabarikiwa na wakati kuna wafia kristo huku nanjilinji hawana baraka hizo alizonazo muuaji Netanyahu?

Au Mungu wa wakristo anaangalia rangi, kwamba ukiwa mzungu au tuseme myahudi wa kizungu hata usipoamini story za Yesu utabarikiwa, lkn ukiwa mgogo na ukaacha kuamini utachomwa?

Hapa ni kama kuna wajanja wametuletea dini tuwaabudu kwa kuwaona wao ni bora zaidi mbele ya Mungu kuliko sisi, kwamba hata asipoamini kwa kuwa tu ni myahudi basi baraka zake zipo pale pale!
 
Back
Top Bottom