UAE na Saudi Arabia hii vita hawataki iendelee wamepoteza sana mapato mpaka wanamlaumu USIli Mashariki ya kati itule, yanahitajika mambo mawili.
1. Marekani na Israel wakubali kuwa ni Super Power wa Mashariki ya kati.
2. Palestina ipewe Uhuru wake na Kutambulika kama taifa.
Ni kweli hii vita inawapa hasara kubwa kuliko faida. Hivyo kama wana akili waombe Marekani iondoe kambi zao katika nchi zao. Na ikikaidi basi wawe wanaipa go ahead Iran ( hata kwa siri) ili izishambulie kambi hizo mpaka ziishe.UAE na Saudi Arabia hii vita hawataki iendelee wamepoteza sana mapato mpaka wanamlaumu US
Walichofanya kwenye kambi za us ilikuwa kwao wazungu ni ndoto, hawakuamini kama itawahi kuja kutokea mileleYa Iran inafuatilia kila kinachoendelea katika nchi hizo. Atakaetoa ruhusa ardhi yake kutumia basi ajiandae na kiama cha moto wa nyika.
Hakika safari hii US wamepigwa na kitu kizito juu ya kichwa chao.Walichofanya kwenye kambi za us ilikuwa kwao wazungu ni ndoto, hawakuamini kama itawahi kuja kutokea milele
![]()
Kambi za kijeshi za Marekani zilizoshambuliwa na Iran tangu kuanza kwa vita - BBC News Swahili
Iran imeharibu maeneo 20 ya kijeshi ya Marekani tangu kuanza kwa vita hivyo, picha na video za satelaiti zilizochambuliwa na kipindi cha BBC Verify, zikidokeza kuwa mashambulizi hayo ni makubwa kuliko inavyokubaliwa hadharani.www.bbc.com
Walokole siwaoni Echolima1 kajificha kupitia mizimu ya kwao kinyanguku😜😜 waliambiwa msiguse Beirut Netanyahu kajizima Data sasa kajifichaKile ulichokuwa unakifikiria wewe, Iran tayari alikuwa ashakifikiria miezi miwili nyuma. Ila walikuwa wanajiweka vizuri kwa kipindi cha pili ambacho refa hatoruhusiwa kusimama uwanjani.
Kamwe kobazi huwa hamna akili. Sijui mudi aliwafanyajeNiaje waungwa
Iran huwa hailali na deni, ikiahidi inalipa kwa muda sahihi. Leo hii wanajeshi wa Marekani hawatolala kwenye kambi zao kamwe.
Njia nyingine ya bahari ya Bab el Mandeb kufungwa, na UAE kuchezea kichapo kikali usiku huu.
Hiki ni kisasi cha Israel kuionea Lebanon kama panchi begi la kujifunzia kupiga ngumi.