Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 189
Kwahiyo unafurahia IRAN kupewa kuwekewa vikwazo na US/UK/UE? Na je kuja makamu wa Rais wa IRAN ulichukia sana? Mbona walivyokuja wakina BUSH,CLINTON na miradi yao inayoinyonya Tanzania na umama wako wa ccm mbona hujapiga kelele au kwa vile wana idea za kishoga na unafurahi hiyo ndo democracy wanayokuachia uku wakiendelea kukuibia rasilimali za Tanzania...Pia ukumbuke TZ ni non-aligned movement hivyo haindeshwi kutoka US/UK wala UE japo kua viongozi wako wa ccm ndo wametufikisha apa tulipo mpaka kuona kushirikiana na IRAN ni dhambi na uenda tukakosa misaada ya hawa ma imperilists...Ni miaka mingapi unapata misaada na bado upo palepale je umeendelea km unavyohisi ? Kwa taarifa yako IRAN imewekewa vikwazo tokea 1979 na imeweza kuovercome those difficult na wakawekeza kwenye elimu bila ya misaada ya hao mashoga wako na leo hii ni Taifa kubwa na lenye kila aina ya technology mpaka hii chuki yote hii wala sio nuclear bali na technological advancement ndo inayowapa pressure kwani ana export almost all things you know....Tanzania tunahitaji kua na viongozi wenye maono na kuwekeza kwenye elimu ya kweli then utaona kuliko kua na idle mind km ya huyu ccm mama anaetegemea kupewa misaada uku umaskini ikiwa ndo kwanza unazidi
Ama kweli nchi hii ni ya wagagigikoko, wengine wanashabikia kuwa raia wa marekani wengine wa Iran. Watanzania hata ukiamua kujichubua kumbuka sisi katika bendera yetu tunawakilishwa na rangi nyeusi. Jipeni uraia wa nchi yeyote lakini mtabaki ni watanzania. Kwa hiyo acheni kulumbana juu ya nani amepata uraia wa wapi, pawe ni Iran au Marekani kote ni ukimbizini. Namkumbuka sana Shaaban Robert: 'kwetu ni kwao kwa nini na kwao ni kwao kwa nini?' Kwetu ni Tanzania tusipende kupafanya kwao hata mara moja...