IRAN soon wanajaribu makombora ya hypersonic pia tayari wana ICBM

, hawa ni ndugu zake All Saaf, aliyekuwa msemaji wa serikali ya Saddam Hussein. Kuna siku Iran alizindua drone ya uongo mpaka aibu. Huyo kashajua Israeli anamtafutia kona nzuri ya kumbandua, sasa anaanza kujihami na silaha za uongo.
Sasa anamtaftia kona ya nn wakat anasilaha zauongo akampige sasa
Mpaka unakufa ww navitukuu vyako hutashuhudia gaysrahel wakiigusa IRAN hata kwamanati yaan
 
Hii Drone hairuki. Imeandaliwa kwaajili ya show off. Kama unabisha tunaomba Picha yake ikiwa angani. Iran sometimes anajitutumua vya uongo na ukweli.

Hypersonic Missile haipo Iran,hapo umeamua tu kukubaliana na uongo wa Iran ili Roho yako isuzike.

Kuukata ukweli hata Kama unatoka kwa adui yako hakuufanyi ukweli huo kuwa uongo,na kuukubali uongo hata Kama unatoka kwa rafiki yako wa karibu hakuufanyi uungo huo kuwa ukweli (By Sir. Jackson the PhD)

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sasa kama IRAN waongo ndio wakat mzuri hui wa Gaysrahel kwenda kuwapiga IRAN koz wanadanganya hawana hata bomu la kiazi yaan
 
Hawa wa Iran kelele nyingi ila hawanaga maajabu mtu pekee asiye na utani ni mapanki tu akisema kitu anaongea huku teyari mzigo unapita juu ya anga la japani mwelekeo marekani lazima mavi yagonge kiupi...
Kelele mingi wakat kaishapiga kambi zinazokaliwa na jeshi la US kawahi wazuilia majeshi ya navy ya US kwamasaa cjui siku kadhaa kashawahi kukamata meli ya UK
Tena haya matukio sio ya 1990s hapana ni ya 2000s
Gaysrahell anajua kutwangana na wanamgambo wa GHAZA tu
 
We Mpuuzi sana washatangaza watakutwa hapo hapo kabla hata ya kufanya majaribio ndio mtajua Muisrael ni nani
 
Hawa wa Iran kelele nyingi ila hawanaga maajabu mtu pekee asiye na utani ni mapanki tu akisema kitu anaongea huku teyari mzigo unapita juu ya anga la japani mwelekeo marekani lazima mavi yagonge kiupi...
Wale wanajeshi 80 wa marekani walofyekwa na makombora ya Iran walikua babu zako au
 
Wale wanajeshi 80 wa marekani walofyekwa na makombora ya Iran walikua babu zako au
Iran ni taifa dogo sana kiteknolojia. Alaf msidhan marekan kutokuonesha silaha zake inamaanisha hana au hana teknolojia ya kutengeneza. We hujifkirii kwanin kila nchi ina inawek bifu na USA. Kwann hao Iran wasiwe na bifu na Korea china au Japan. USA ni dunia na izo zote ni harakat za Kumshusha ila itabak kuwa Juu kwa mambo yote.
 
Back
Top Bottom