BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,148
- 2,160
Duh ktk pitapita zangu nimeshtuka kuona hii Nchi yenye ma sanctions kila kukicha eti wanazalisha umeme zaidi ya Megawatts 80,000 na kuuza ktk nchi zote wanazopakana nazo km Turkey,Irak,Pakistan nk nk Uku Tanzania tokea Uhuru hadi Leo hii hatujawahi fikisha ata Megawatts 2000 na bado tunahubiri viwanda kweli? Nimekuja gundua Hawa waajemi sio watu wa kawaida asiee kwani licha ya vikwazo chungu mzima lakini ndo Top kwa kuzarisha umeme uko masharaki ya kati na wameweza kumasta technology za umeme na vifaa vyake kwa zaidi ya 90%
Iran’s Power Generation Capacity Tops 80,000 MW - Economy news - Tasnim News Agency
Iran’s Power Generation Capacity Tops 80,000 MW - Economy news - Tasnim News Agency