Iran plane crash: Britain condemns Tehran's arrest of UK ambassador

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
3,686
2,000
Balozi huruhusiwi kushiriki katika maandamano ndani ya nchi husika otherwise unakuwa termed kama ume incite hayo maandamano so wana deal na wewe kama muhalifu mwingine. So kwa Iran kumtia nyavuni huyu kiherehere wametimiza takwa la kisheria kabisa na serikali ya wingereza ilitakiwa iwapongeze wairan sio kuwalaumu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom