Iran plane crash: Britain condemns Tehran's arrest of UK ambassador

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Huwezi amini kwa mujibu wa BBC Iran imemtupa nyuma ya nondo balozi wa Uingereza nchini humo kwa kuchoche maandamano nje ya chuo kikuu, wakati kwa sheria za kimataifa balozi huyo ana kinga ya kidplomasia.

Hawa jamaa linapokuja suala lá kulinda serikali yao hawaangalii mtu usoni aisee.

======

Iran plane crash: Britain condemns Tehran's arrest of UK ambassador

9272019UKAmbassadorRobMacaire-768x461.jpg

Britain has condemned the arrest of the UK ambassador to Iran as a "flagrant violation of international law".

Rob Macaire was detained after attending a vigil for those who died when Iran's military shot down a passenger plane on Wednesday.

He left when it turned into a protest before being arrested and accused of helping to organise the demonstrations.

Iran's deputy foreign minister said he was arrested "as an unknown foreigner in an illegal gathering".

Mr Macaire was summoned to the Iranian foreign ministry on Sunday after his arrest on Saturday night.

Seyed Abbas Araghchi, deputy foreign minister of Iran, who denied Mr Macaire was detained, said in a tweet that he thought it "impossible" when police first told him that the UK ambassador had been arrested.

A phone conversation confirmed Mr Macaire's identity and he was released 15 minutes later, Mr Araghchi added.

In a tweet, Mr Macaire denied taking part in protests and Foreign Secretary Dominic Raab condemned his arrest.

Mr Macaire said he was attending the vigil because it was "normal to want to pay respects", adding that some of the victims were British.

The ambassador added: "Arresting diplomats is of course illegal, in all countries."

Protesters had taken to the streets in Iran's capital, Tehran, to vent anger at officials, calling them liars for having denied shooting down a Ukrainian passenger plane.

On Saturday, Iran admitted "unintentionally" downing the jet, three days after the crash that killed 176 people.

Source: BBC
 
Diplomatic Immunity ni sheria ya kijinga sana, top diplomats wanapewa full immunity kiasi kwamba hata afanye kosa gani (hata akiua mtu) hawezi kuwa arrest wala kufikishwa mahakamani.

Kwangu mimi naona ni ujinga maana kama huyu ambassador amefanya vitendo ambavyo vinahatarisha national security tena kwa makusudi kisa anajua kuwa ana immunity.

Hongera Iran kwa ku defy sheria hii yaki primitive.

Cc: Paula Paul
 
Hawa Iran wanajaribu to make bad situation worse. Nilisikia alipiga picha ya waandamaji na Iran hawakutaka picha ziwe published.

Sheria iliweka na waliikubali. So arresting one is an absolute breach of international law. Kwahiyo Kama Ambassador amefanya kosa wanatakiwa wamfukuze kwenye hiyo nchi na sio kum arrest.

Ila naamini Iran hawatafanya makosa, watamwachilia( sijafuatilia kama amekwishaachiliwa, maana alikamatwa tangu jana) halafu watatunga kitu cha uongo like walimkamata kwa masaa machache kwa ajili ya usalama wake kwa sababu alikuwa eneo hatari. Unadhani hawajipendi???

Natamani pia wafanye makosamaana nilikuwa nahisi UK walikuwa upande wa Iran ndio maana Trump alipoa.
And now that they breached diplomatic immunity dunia inawaona kama magaidi hivo ni kuwadungua tuu.
 
Okay, tukiachana na haya ya huyu ambassador je unakubaliana na hii international law inayowapa top diplomats total immunity hata wakifanya makosa kama kuua mtu?
 
Hapana sikubaliani nayo kabisa.
Kumuua mtu ni kosa, ni uvunjifu wa haki za binadamu.

Ila sasa sheria mkishaipitisha na wote mkakubaliana ni sawa na kula kiapo. Wanatakiwa wafanye namna hii sheria ibadilike. Kwa sababu wanapewa Uhuru sana.
 
Sawa, sasa vivyo hivyo naomba ukubaliane na mimi kuwa US kuingilia katika affairs za mataifa mengine ni suala lisilokubalika na jumuiya ya kimataifa!
 
Tolea mfano Mr, unaongelea case ipi?
Kuna sheria inayomtaka US asifanye alichofanya? Mbona hajawa arrested kwa ku breach .
Mara nyingi tumeona intervention ya US huko South America. There have been numerous US backed coup 'd' tats wakiwa na iam ya ku replace left wing leaders with right wing leaders kwaajili ya manufaa yao binfasi.

After overthrowing the left wing leader they instill their puppets ambao wana serve kwa manufaa ya mabeberu na sio wananchi wao.

Achilia mbali the Middle East crisis, it's all due to US intervention for their own interest na sio kwa interest za watu wa Middle East e.g recently in Syria
 
D. D. D. D. Nani huyo aliekua hajitaki atakaedungua Iran?
Hawa Iran wanajaribu to make bad situation worse. Nilisikia alipiga picha ya waandamaji na Iran hawakutaka picha ziwe published.

Sheria iliweka na waliikubali. So arresting one is an absolute breach of international law. Kwahiyo Kama Ambassador amefanya kosa wanatakiwa wamfukuze kwenye hiyo nchi na sio kum arrest.

Ila naamini Iran hawatafanya makosa, watamwachilia( sijafuatilia kama amekwishaachiliwa, maana alikamatwa tangu jana) halafu watatunga kitu cha uongo like walimkamata kwa masaa machache kwa ajili ya usalama wake kwa sababu alikuwa eneo hatari. Unadhani hawajipendi???

Natamani pia wafanye makosamaana nilikuwa nahisi UK walikuwa upande wa Iran ndio maana Trump alipoa.
And now that they breached diplomatic immunity dunia inawaona kama magaidi hivo ni kuwadungua tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi tumeona intervention ya US huko South America. There have been numerous US backed coup 'd' tats wakiwa na iam ya ku replace left wing leaders with right wing leaders kwaajili ya manufaa yao binfasi.

After overthrowing the left wing leader they instill their puppets ambao wana serve kwa manufaa ya mabeberu na sio wananchi wao.

Achilia mbali the Middle East crisis, it's all due to US intervention for their own interest na sio kwa interest za watu wa Middle East e.g recently in Syria

Sina uhakika kama hayo uliyoyasema kwenye hizo nchi tajwa, ni "mtazamo" wako au wa watu wengi au ndio jambo kamili ambalo "US analifanya in direct way".

Hivi jumuiya ya kimataifa si ndio UN?

Hebu fikiria kidogo US awe anajiweka kando kwenye mambo yanayoendelea na kuachia UN wasuluhishe.
Je , UN pekee yao wana nguvu ya kufanya hayo?
Kumbuka UN haina jeshi, inategemea wanajeshi kutoka nchi mbali mbali ambao wanajaribu Ku keep peace. Mpaka hapa unahisi US anatakiwa akae kando?

Ikumbukwe pia baada ya vita ya pili ya dunia (WW2,) US Walifanywa kama peacekeeping body between countries. Bado unafikiria kwamba US wanatakiwa wakae kando?.

Hamna namna yoyote ambayo hata kama sio US, iwe hata Taifa lingine au hata UN unaweza kutatua mgogoro wowote without violating the sovereignty of the country involved, kwa sababu " gomvi" nyingi ni "civil conflict".

Sasa kama watu wanapigana wenyewe kwa wenyewe waachiwe kweli wasuluhishe wenyewe? . Na pia utawezaa suluhisha ugomvi kama huo usipate lawama?

Utanisamehe kama tutatofautiana mitazamo na pia kama sijakujibu ipasavyo. Huwa sio MTU wa politics .
 
Back
Top Bottom