Iran: Ndege yaanguka na kuua watu wote 66 waliokuwa ndani yake

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Ndege ya abiria iliyokuwa ikitokkea Tehran, imeanguka na kuua watu 66 kusini mwa Iran. Kati ya watu hao, 60 walikuwa ni abiria akiwemo mtoto mmoja na Wengine sita ni Waafanyakazi wa kwenye ndege. Ni ndege ya pili kuanguka ndani ya siku 10

=====

A spokesman for Iran's Aseman Airlines has told state TV that an airplane crash in southern Iran has killed all 66 people who were on board.

Mohammad Taghi Tabatabai spoke to state TV on Sunday. He says the flight carried 60 passengers, including one child, and six crew members.

He says the plane crashed in Mount Dena, which is some 440 meters (1,440 feet) tall.

The ATR-72, a twin-engine turboprop used for short-distance regional flying, went down near the remote mountain town of Semirom, some 620 kilometers (390 miles) south of the capital, Tehran.

Under decades of international sanctions, Iran's commercial passenger aircraft fleet has aged, with air accidents occurring regularly in recent years.

Following the 2015 landmark nuclear deal with world powers, Iran signed deals with both Airbus and Boeing to buy scores of passenger planes.

Passenger plane crashes in Iran with 66 aboard, local media report - CNN
 
Duh! Poleni sana waathirika wa tukio hili baya na la huzuni kubwa. Mapenzi ya mola hayazuiliki ila kama kuna uzembe, wahusika wawajibishwe mara moja. Hii ndege ni jamii ya Bombadier hadi muonekano jao inatengenezwa France na Bombadier ni ya Canada.
 
Israel inadili kivingine Na maadui zake. Ikianza kwa kuangusha ndege ya Urusi sasa ya Iran
Israel hahangaiki na raia wasio na hatia; yeye hulenga "vichwa ngumu". Ila kama raia mkijichanganya mkawa upande wa maadui zake au maadui wakijichanganya na ninyi, hapo atakuwa hana namna zaidi ya kuwamaliza wote. Hiyo ndiyo sera yake ya kijeshi tangu enzi za Majenerali Joshua, Daudi (Mfalme), na wengineo.
 
na ile ya urusi nayo ni Israel?!
1b57da8621c96f9c90dc18d21b1cec6f.jpg
 
Israel hahangaiki na raia wasio na hatia; yeye hulenga "vichwa ngumu". Ila kama raia mkijichanganya mkawa upande wa maadui zake au maadui wakijichanganya na ninyi, hapo atakuwa hana namna zaidi ya kuwamaliza wote. Hiyo ndiyo sera yake ya kijeshi tangu enzi za Majenerali Joshua, Daudi (Mfalme), na wengineo.
kule palestina anapga risasi had vichanga kwenye uchanja..anapga jenereta za kuzalisha umeme
 
Ndege ni usafiri wa uhakika zaidi tunaweza kusema salama zaidi ya asilimia 80 lakini siku ajali yake ikitokea inakuwa sio salama tena maana hakuna anayeweza survive.
 
Back
Top Bottom