Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,452
Hii ni mipango tu ya kibinadamu lakini sidhan kama kutakua na mafanikio kwenye hili
Ina maana waliokutana waka jadili na kukubaliana kwa sauti moja kisha waka Saini.Hii ni mipango tu ya kibinadamu lakini sidhan kama kutakua na mafanikio kwenye hili
Nguvu ya Marekani imetokana na support kubwa kutoka EU kawatumia Sana kwa maslahi yake ujio wa Trump umewaamsha kutoka ktk usingizi mzito Sana waliokuwa wamelala....Marekani bila Umoja wa ulaya Hana Cha kujivunia,marekani anajaribu kutengeneza dunia yake yeye Kama yeye vzr maana atawapa Nafasi wengine watawale dunia, vizazi vijavyo vitashuhudia anguko kubwa na Us, tatizo muda tu....Baada ya Trump kuingia madarakani ndio nimegundua nguvu ya Marekani duniani.Hizo nchi zote zinapambana na nchi moja tu na huenda wakafeli!
Marekani si nchi moja. Marekani ni kwa kiswahili lakini kwa kiingereza ni United states of Amerika. Kwa nini watu hupenda kuiita Marekani kwamba ni nchi moja? United states maanake nini?Baada ya Trump kuingia madarakani ndio nimegundua nguvu ya Marekani duniani.Hizo nchi zote zinapambana na nchi moja tu na huenda wakafeli!
Kwa kweli cha kwako ni kizito.......(Natania tuu)na kishwahili chako chepesi kwenye keyboard
Wanajaribu kuitenga US japo bado ngumu maana mifumo ya kifedha ya US na nchi za ulaya bado inategemeana sana. Muhimu wavumilie huyu Mzee (Trump) labda huenda asirudi ikulu mwaka 2020 ndo salama yao.Finally they decided to move on without US. Very good indeed
Waziri wa Kaskazini, haya mambo si mepesi tuwe na maneno ya akiba. EU ni mshirika muhimu sana wa America huwa wanasaidiana kwenye " economic opportunity, Diplomatic support na international problems". Baadhi ya washirika wa EU mpaka kufikia hatua ya hayo makubaliani waliyoyatia saini ni kitu ambacho chenye mkito na hayo yote ni kwa sababu ya maslahi ya Mataifa yao.Marekani mda siyo mrefu atawavurunga
No bias Safi sana , bro mkuuWaziri wa Kaskazini, haya mambo si mepesi tuwe na maneno ya akiba. EU ni mshirika muhimu sana wa America huwa wanasaidiana kwenye " economic opportunity, Diplomatic support na international problems". Baadhi ya washirika wa EU mpaka kufikia hatua ya hayo makubaliani waliyoyatia saini ni kitu ambacho chenye mkito na hayo yote ni kwa sababu ya maslahi ya Mataifa yao.
Ijapokuwa Trump na kauli mbiu yake "America first" but kuhusu EU ni mshirika wenye historia nayo ndefu, something Washington would be wise to remember.
Hata mission za kivita alizofanya kwa support ya NATO alifanikiwa kwa kiasi kikubwa.Waziri wa Kaskazini, haya mambo si mepesi tuwe na maneno ya akiba. EU ni mshirika muhimu sana wa America huwa wanasaidiana kwenye " economic opportunity, Diplomatic support na international problems". Baadhi ya washirika wa EU mpaka kufikia hatua ya hayo makubaliani waliyoyatia saini ni kitu ambacho chenye mkito na hayo yote ni kwa sababu ya maslahi ya Mataifa yao.
Ijapokuwa Trump na kauli mbiu yake "America first" but kuhusu EU ni mshirika wenye historia nayo ndefu, something Washington would be wise to remember.
Kwani imeshasambaratika.....?BRICS ilishia wapi?
Vice versa is true. EU walikuwa wanaishi kwa kutumia mgongo wa Marekani Kiuchumi,Kisiasa na Kiusalama.Nguvu ya Marekani imetokana na support kubwa kutoka EU kawatumia Sana kwa maslahi yake ujio wa Trump umewaamsha kutoka ktk usingizi mzito Sana waliokuwa wamelala....Marekani bila Umoja wa ulaya Hana Cha kujivunia,marekani anajaribu kutengeneza dunia yake yeye Kama yeye vzr maana atawapa Nafasi wengine watawale dunia, vizazi vijavyo vitashuhudia anguko kubwa na Us, tatizo muda tu....