Iran: Moto mkubwa watokea katika kiwanda cha kusafisha Mafuta Iran

bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
8,357
9,544
Mda mfupi uliopita moto mkubwa umetokea katika kiwanda cha kusafisha mafuta Tehran-Iran, mpaka muda huu chanzo cha moto bado hakijajulikana wala majeruhi
Hili tukio limetokea siku moja baada ya meli kubwa ya kivita ya iran kushika moto

Massive Fire Breaks Out at Tehran’s Oil Refinery
By IFP Editorial Staff -June 2, 2021

A massive fire has broken out at Tehran’s Tondguyan oil refinery, creating a heavy black smoke in the south of the capital.

The director-general of Tehran’s Crisis Management Organisation says one of the liquid gas pipelines of the refinery has caught fire.

Several firefighting units have been dispatched to the scene.

There is currently no report of possible casualties.

The incident comes one day after the Iranian navy’s biggest ship, Kharg, caught fire in southern Iran and sank.

IMG_5220.png
 
Hii milipuko sasa imekithiri nchini Iran. Si kila majanga ya aina hii ni mashambulizi kutoka nchi za nje, mengine ni ubovu ama uchakavu tu wa miundombinu zao wenyewe.
 
Mbona ni moto kila kukicha ndani ya Iran tátizo nini? Mara kimewaka hiki mara kimeungua kile!
Nalog off
 
USA kuna janga la moto lilitokea hapo 2014 washington(carlton complex fire), acres 256k ziliwaka moto, zaidi ya nyumba(makazi) 300 ziliteketea, sasa ndugu zangu ingekuwa ni Iran ndio huu moto umetokea watu wangesema ni Israel.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom