Iran kupitia ubalozi wa Uswis yatuma meseji kwa Marekani: Shambulio lolote dhidi yake litajibiwa

Hivi kwa ufahamu wako unadhani Iran tukiikabidhi kwa North Korea chini ya Kiduku ipambane kivita itaweza kuisambaratisha?

USA ni muda tu ndiyo unaosubiriwa lakini kuifananisha USA na Iran kivita ni sawa na kulinganisha uwezo wa ubongo wa Binadamu kwa akili na ikifanyacho Roboti.

Google matokeo ya Vita ya Vietnma na US

Matokeo ya vita hayapatikani kwa ku bet ndugu

Nikumbushe Vita ambayo America ilipigana ikashinda bila ya kusaidiana na Rafiki zake labda Mie nmesahau?
 
Ndio bwana Ayatollah Khomeini wa Temeke Mikoroshini. Watu wanafikiria kuishi na maendeleo wewe unafikiria ndoto za harinacha. Ugali maharagwe umearibu akili za wa Tanzania
Maendeleo gani?ya kupewa misaada sio?
Yaan unajita mwanaume alafu unafurahia mkeo na watoto wako kulishwa na mwanaume mwingine?unadhani nini kinacho fuata kwa mkeo
Bora mimi nimeharibiwa na ugali maharage ,kuliko wewe uliye jaa makamasi kichwani badala ya ubongo.
 
Bora uwaambie hawa watu izo huduma za clinics ni misaada ya USA. USA anafaida kubwa sana kuliko hawo watu wengine ingawa watu hawajui lakini wangekuwa wanaenda mahospitalini ndio mngejua USA Aids wanafanya nn? Tatizo sisi wanaume maswala mengi tunawaachia wakina mama, baadae tunakuja kuwalaumu lakini ukweli ni huo, wanawake wamebeba siri kubwa sana ya dunia. Mahospitalini kama isingekuwa misaada ya USA Aid tungekuwa ni mwendo wa kuzaaa na kuzika tuuuu. Leo watu wanamshabikia huyo Iran asiyekuwa na msaaada wowote ktk dunia. Mtu ana chapa ya ndui ya USA haoni hata aibu. Sisi wanaume tuwaurize wake zetu maswala wayapatayo ktk maisha ukitoka apo ndio umtafakari USA
Ndio maana nimekwambia tunatakiwa tupigane ili tusimame kwa miguu yetu wenyewe, badala ya kuwaza misaada kila siku hao akina Iran wanao itoa jasho marekani miaka ya 60 tuli kuwa Levo moja kwa maendeleo, lakini sasa hivi ukilinganisha maendeleo yao na sisi ni mbingu na ardhi .
 
Bora uwaambie hawa watu izo huduma za clinics ni misaada ya USA. USA anafaida kubwa sana kuliko hawo watu wengine ingawa watu hawajui lakini wangekuwa wanaenda mahospitalini ndio mngejua USA Aids wanafanya nn? Tatizo sisi wanaume maswala mengi tunawaachia wakina mama, baadae tunakuja kuwalaumu lakini ukweli ni huo, wanawake wamebeba siri kubwa sana ya dunia. Mahospitalini kama isingekuwa misaada ya USA Aid tungekuwa ni mwendo wa kuzaaa na kuzika tuuuu. Leo watu wanamshabikia huyo Iran asiyekuwa na msaaada wowote ktk dunia. Mtu ana chapa ya ndui ya USA haoni hata aibu. Sisi wanaume tuwaurize wake zetu maswala wayapatayo ktk maisha ukitoka apo ndio umtafakari USA
Akili za mtumwa izi
 
Saudi Arabia inajiaibisha sana eti waziri wa ulinzi wa nchi unakaa mbele ya television unalialia eti Iran ametushambulia huku ukionesha mabaki ya silaha hii ni aibu kubwa sana.
Kama waziri wa ulinzi unalialia wananchi wa kawaida wafanyaje??
 
Hujajibu swali nililokuuliza Bosi, ebu rudia kunisoma vizuri.
Google matokeo ya Vita ya Vietnma na US

Matokeo ya vita hayapatikani kwa ku bet ndugu

Nikumbushe Vita ambayo America ilipigana ikashinda bila ya kusaidiana na Rafiki zake labda Mie nmesahau?
 
Wewe mwenye chuki dunia ya sasa vita vinapiganwa kwa akili.
.
Wakati wa tukio la 9/11 unajua ilichukua muda gani mpaka wakaanza kulipa kisasi? Na unajua wanalipa kisasi kwa namna gani?
Doooh kwanza sina chuki kijana labda kama unachuki ww 2

Ina maana kukwambia ukweli ndio nimekua nna chuki duuh

Sawa kama vita ni Akili Wakati wanaivamia IRAQ Kwamadai Yakwamba Wana Silaha Zasumu Walikua Hawana Akili Ama Maana Mpaka Sasa Hawajaonesha Evidenc yyte Kama Kulikua Nasilaha Zasumu

Means Dat Walimuua SADDAM HUSSEIN Kwachuki Zao

Tumia Busara na hekma kwanza kabla hujakoment U2mbo Kaka mkubwa
 
Kweli kabisa mkuuuu. Nilitakaaa kuongea neno kwa Iran, sema ningepigwa BANN ya mwaka. Kifupi hawa Iran kuwa na ndevu na sehemu ya uume mkubwa wanafikiri wanaweza wakafanya mapenzi hata na Bibi yake. Wanachokitafuta itakuwa History. Kama ilivyoachwa IRAQ. Ngoja wazidi kuota mapembe watakuja kufurahia kuona ya Hiroshima na Nagasaki. Watu wapo Laboratory wanaiangalia kwy Satellite tuuuu.
Sawa Mkemia Mkuu
 
Wazungu huwa hawakurupuki wana mipango endelevu ambapo unaweza kuona USA wako kimya kumbe wanajipanga kimya kimya hata zaidi ya miaka 10 mbele hatimaye wakilianzisha ni ushindi juu ya ushindani kwa 1000%.
Ndio Akili Zetu Zilipoishia Hapa IRAQ Walipigwa Kwasababu Walidaiwa Kua wanasilaha za Maangamizi Mpaka sasa silaha ziko wapi

Tatizo lenu Mnaweka CHUKI mbele Kuliko Uhalisia Kwahio Pale IRAQ Walifanya Nini kama sio Kukurupuka ?!

IRAN Watajipanga Zaidi Yamiaka 1000 Ila Hawana Watakalo Mfanya
 
Doooh kwanza sina chuki kijana labda kama unachuki ww 2

Ina maana kukwambia ukweli ndio nimekua nna chuki duuh

Sawa kama vita ni Akili Wakati wanaivamia IRAQ Kwamadai Yakwamba Wana Silaha Zasumu Walikua Hawana Akili Ama Maana Mpaka Sasa Hawajaonesha Evidenc yyte Kama Kulikua Nasilaha Zasumu

Means Dat Walimuua SADDAM HUSSEIN Kwachuki Zao

Tumia Busara na hekma kwanza kabla hujakoment U2mbo Kaka mkubwa
Wewe una chuki kubwa sana alafu chuki zako ni zakidini.
Wewe ungekuwa huna chuki kwanini unaichukia Israel kwanini unawachukia Wayahudi waliwahi kukufanyia nini wewe, ndugu yako, jamaa au rafiki?
.
Wasaudi wenyewe wanasema Hamas na Hezbollah ni makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na Iran wewe nani uwe upande wao?
Fid Q aliwahi kuimba "Hakika chuki humchoma anayeihifadhi"
.
Acha chuki mbaya sana
 
Back
Top Bottom