Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter


Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni Tofauti

Sisi Yetu Macho

Screenshot_20200103-230139.png
 
Iran usifikiri wataacha hii kitu ipite kimya.
Trump atajuta na itakuwa sababu ya Trump kushindwa uchaguzi.
fafanua hapo kwenye suala la uchaguzi maana trump mwenyewe anatumia tukio lile kama mtaji wa kisiasa leo Bloomberg TV walikuwa kila wakisoma updates za ile habari lazima waseme ‘shambulizi limetekelezwa kwa maagizo ya rais donald trump’
 
Dogo hivi we umemsikia nani anayeongea hayo? Ni waziri wa mambo ya nje huyo ni mwanasiasa lazima aongee vile. We tuliza ball wakuu wamajeshi wa Iran wanasema lazima USA watakimbia tu hapo Iraq mbona unaharaka kama mtu anayetaka kuharisha.
Ivi wale watoto waliokuwa wanatoka North Carolina katika kikosi Cha special force kiitwacho Frog Bragg uliwaona lakini wameenda wamemuua kizembe sana Qaseem Suleyman. Ameuliwa na vijana wa umri wa miaka 25 kushuka chini ni aibu Sana kwa utawala wa akina Ayatollah khamenei. Na kile kikosi na wadada walikuwepo. Aliyekutangulia muheshimu usipambane nae. Na wale watoto ingetokea wakamdaka Ayatollah khamenei na kuondoka nae wairan wangelia Sana, wangeenda kila kona kuomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA vichwa vikubwa, usishangae CIA wapo kwenye jeshi la Iran..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapambana na USA uku unatumia Twitter, Facebook, Google, iPhone, window, Visa, Master card, Symbian, Instagram, Android, Wikipedia, internet na wakati izo zote ni silaha kwa USA anaweza akaanza kutrace account zote kukutafuta
Huyu Javad zarifu namuonea huruma na iyo Twitter wazungu wanamuinjoi tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom