Iran: Hatutoruhusu Marekani itishie usalama wa Ghuba ya uajemi

Jana pompeo alikwenda ubelgiji akavamia mkutano wa EU akitafuta nchi za ulaya kuunga mkono juhudi,wamemwambia vita sio jibu,atumie diplomasia kuongea na iran,
leo manowari ya hispania iliyokuwa kwenye msafara wa kuescort aircraft carrier imepewa amri ya kujitoa na kugeuza kurudi spain,
wakati huohuo marekani wanadai watapeleka askari 120,000 endapo iran itashambulia vikosi vyake.
Sielewi kwanini wasishambulie sasa kwakua wanadai iran kalipua merikebu 4 za mafuta pale ghuba ya oman?
Kwani trump jana ameahidi endapo itagundulika ni iran ndo wamefanya,basi watapata tabu sana..
Then sielewi marekani anasubiri nini kuwapa tabu sana iran
trump aliwambia iran wampigie simu wayaongee,iran wamesema hawana mda mchafu wa kupigia mtu simu,
leo pompeo kiguu na njia kumuona mzee putin
Unaandika kwa utoto mwingi sana.!
 
Anatafuta uungwaji mkono wa ulaya,Marekani ni kama liverpool she will never walk alone.
 
Back
Top Bottom