Write your reply... BREAKING Implementation of a major
military operation against Saudi targets -
Military source: Seven drones run by
Yemeni forces carried out attacks
against vital Saudi facilities,oil faciities hit by houthi drone
Dalili za woga hizoVita ya Ghuba ya Uajemi itakuwa vita mbaya sana,wala haitakuwa vita rahisi kwa Marekani,Madhara ya pande zote yatakuwa ni makubwa sana,na it waill take years to recover. Siyo vita ya kushabikia hata kidogo.
Basihaya ipi,hii ya Tegeta Boko?
Mkuu kuna watu humu wanafkiria ni vita rahisi sana kama ikitokea lakini, mm nawambia matokea yatakua tofauti nawavyofkiriaUSA alimpiga sana biti North Korea, mpaka wakakaa meza ya mazungumzo.
Sasa hizi biti anakazia iran,
Bin laden aliwaingiza chaka marekani wakaenda afghan, wamarekani wamepasuliwa vichwa na wa peshtun mkapa leo hawana hamu.
Sasa marekani kama anataka kutetema na wapersia afanye kutikisa kiberiti.
Me nianze kula popcorn huku nikimsubiri mwanakodoo mtoto wa mariam ashuke.
MKUU NDIO MAANA US ANATAKA KWENDA NA WASHIRIKA WAKE ILA NAONA SPAIN LEO KALA CHORO, KASEMA HAWEZI HII VITA KASHASEPAMkuu , marekani yeye anatengeneze drama ili watu wenye mabeef yao middle east wachapane.
Muiran yeye kamuunga mkono kwa kutoa tungo tata kua wao watapigana kulipa kisasi cha Hussein.
Maana yake Iraq, Syria, na Iran itakua Tripple etente against SAUD.
SAUD yeye hawezi ardhi yake kuigeuza kua magofu, maana ile ardhi ni peace zone pia level zake ni huko yemen.hapa atatulia amwachie US.
Utata wenyewe ni kua IRAN yeye hawezi kuanza na SAUD, yeye hamu yake ni kufa na Israel, Hezbollah hapa atakua kapata nafasi ya kuweka heshima.
Hamas nayeye lazima arushe mawe maana nyoka kashaanza kupigwa kichwa.
Wakurdi wasiposhika silaha against US , Turkey atapewa go ahead na Shia na yeye atatafuta backup ya Daesh.
DAESH will be refunded cause atapata recovery .Assad akisumbulia Russia anaingia., na Russia akiingia hataki US amungilie kila mtu apite anga zake.
Gates of viena will be shaked kwa wimbi la wakimbizi, mambo ya Brexit yatasahaulika
Wataleban nao watataka warudi kabul, US atashindwa ashike lipi aache lipi.
And so on and so forth
Damu haitomwagika damu itajimwaga.
Haitokua no smoking zone itakua No life zone.
Waarabu tumewazoea kwa mikwala mstari upi avuke kama unalima mahindi kwa jasho lako na kwa gharama zako alafu anakuja mtu anakwambia hayo mahindi ni marufuku kumuuzia mtu huoni kama huo ni mstar tosha wa kimaslahi ambao America kavuka?... Au mstar gani unauzungumzia? Kakuletea hadi base(manuali) uani kwako anakwambia ukikiuka vikwazo unakula za chembe huoni kama America ameshavuka mstar?.... Iran anatakiwa auziilishie ulimwengu kuwa yeye kidume kwa kufanya tofauti na vikwazo ndo atajua nyanya mboga au matunda?
Wa ajabu sanaMzee mbona wajiaibisha hivo! Nani aliekuambia Iran ni waarabu? Iran ni persian
Wewe jasiri chukua bunduki kasaidie upande unaoupenda..Maana unajibu kitoto sana...Dalili za woga hizo
Wewe hujaelewaWaarabu tumewazoea kwa mikwala mstari upi avuke kama unalima mahindi kwa jasho lako na kwa gharama zako alafu anakuja mtu anakwambia hayo mahindi ni marufuku kumuuzia mtu huoni kama huo ni mstar tosha wa kimaslahi ambao America kavuka?... Au mstar gani unauzungumzia? Kakuletea hadi base(manuali) uani kwako anakwambia ukikiuka vikwazo unakula za chembe huoni kama America ameshavuka mstar?.... Iran anatakiwa auziilishie ulimwengu kuwa yeye kidume kwa kufanya tofauti na vikwazo ndo atajua nyanya mboga au matunda?
Iyo manowari ya marekani haijaingia katika eneo linalomilikiwa na Iran ipo katika international water hivyo si tishio kwa Iran na wala hawajavuka mpaka wa iranMbona tayari ile manowari ya Abraham Lincoln ipo huko Strait of Hormuz au wewe muiran wa Keko Machungwa unataka wafanye nini sasa. Waambieni wairan basi wawarushie hata rungu.
Hauna uislamu wowote wewe .Matusi ya nini mbona umepanic sana alafu mimi sio mkristo mimi ni Islam kwahiyo mtu yoyote anaongea ukweli dhidi ya iran basi ni mkristo?..... Acha kuwa na mawazo finyu mpumbavu wewe usio na akili akili yako inawaza udini tu hebu tubadirike waislam kwenye ukweli tuongee yaani ukipishana mawazo na mtu basi mkristo! Duh... Mtu kama wewe usiue na akili mwenye mihemuko ya kidini ndo tunafanya waislam wote tuonekane kituko pumbavu
Hauna uislamu wowote wewe .
Huwezi kufurahia mazara kwa waislamu wenzako na kutetea marekani