kama urusi alikua anamlinda israel basi israel asingelipua ndege ya urusi... na kama alikua anawalinda israel na si syria basi asad angeshang'olewa... urusi haiwezi kutetea maslah ya israel ...ustadh umeshikwa pabaya...Wacha uwongo na dalili hii hapa Russian kaenda Syria kuwalinda wa Israel https://www.google.com/url?sa=t&sou...BxAB&usg=AOvVaw12MWRX4nOhgOZk3wim95qw&cf=1