Iran claims to have Father of all bombs greater than US MOAB

Umeandika hoja kishabiki kbs...hapo hamna cha sunni wala shia ukitazama kwa makini hapo ni issue za kisiasa na kiuchumi tu

Yaani vita mnapigana na Mmarekani halafu uanze kupeleka jeshi la kishia Arab peninsula watu wakiwa wanawaangalia tu?
 
Bro ukiendesha uzi kishabiki hivi bila kutoa hoja unakosa maana hata wachangiaji utawakosa
Nilitegemea ungeanza kumkanya kwanza huyo mfuasi mwenzako mtoto wa kuku...maana yeye ndo kaanza haya mambo ya 7 kwa bila....lakini mimi ndo umeniona tu..

Lakini twende in topic Kwanza kitu ambacho au kosa ambalo USA hawezi kufanya ni kuishambulia Iran kichwa kichwa maana anajua USA base zake zote zitateketezwa na makombora ya Iran...halafu pia Israel atakua yu hatarini..kwasababu Iran alishasema kuwa akiguswa hatopambana na US pekee yake bali ataitandika na Israel wakati huo huo....
 
S-300 air defence ikiwa tehran.....
F3RAN7PFTNB6VPTCF3M47UDC4M.jpg
Russian-S-300-Air-Defense-Systems.jpg
 
Kombola=kombora
Mkuu acha kujiaibisha bhas,embu soma hapo chini uelewe

Kombora ni neno linaloweza kutaja chochote kinachorushwa au kinachotupwa katika eneo lengwa. Siku hizi, inamaanisha hasa mfumo wa silaha unaojiongoza.

Makombora hutumiwa katika vita ili kuharibu malengo ya kijeshi. Makombora yanaweza kubeba mabomu au mizigo mingine yenye uharibifu. Mizigo ambayo kombora linaweza kubeba huweza kuitwa shehena (kwa Kiingereza Payloads).

[https://upload] Makala hii kuhusu teknolojia ni fupi mno. Unaweza kuipanua kwa kusaidia Wikipedia kuongezea habari juu yake.

Hii ndo komenti yangu ya mwisho kwenye huu Uzi
 
Nimekurekebisha spelling error..
 
BREAKING; The U.S. is prepared to talk
to Iran "with no preconditions,"
Secretary of State Mike Pompeo said
 
Pale middle east hakuna taifa nguli km iran wengine wote mashosti full stop
Hizo sub za Iran zinazopiga kelele kama pikipiki kabla hata hazijafika pwani ya Israel zitakua zishaonwa na mifumo ya ulinzi ya Israeli na kulipuliwa.

Israel hana haja kwa kua na sub nyingi kutokana na jiografia ya eneo alilopo. Iran ina ukanda mrefu wa bahari kua na sub nyingi ni lazima
 
Kak km han ubavu huo mbona trump anatapatapa km bush embu ongea reality bhana
Sasa kuharibu hiyo runway si ndo mpaka uweze kupenetrate mifumo ya ulinzi ya destroyers na ya kwenye kambi za jeshi zilizo karibu. Na kwa hilo Iran hana ubavu huo labda ingekua Russia au China.

Pia kumbuka F-35 haihiitaji hata runway,inaweza inuka na kupaa kama helicopter
 
Hebu wekeni mapenzi pembeni na mchambue kwa makini, angalieni jeshi lenye technologia kubwa na uwekezaji mkubwa, maana kila kitu kinaanzia hapo, ndio tutakuja na mambo mengine
Jeshi lenye teknolojia kubwa kupigwa na Hamas s upuuzi huo?
 
Ndugu Huyo Israel anasimama kwa nguvu ya mmarekani.Trump akisema am leaving Israel anaanguka km bubble gum
Hebu wekeni mapenzi pembeni na mchambue kwa makini, angalieni jeshi lenye technologia kubwa na uwekezaji mkubwa, maana kila kitu kinaanzia hapo, ndio tutakuja na mambo mengine
 
Unajua unachoongea ww.
Hzo nuclear anazitengenezaje?!
Km Mmarekani wako anajiweza licha ya kusaidiwa na Saddam Hussein mbona kashindwa kumpiga Iran na akapigwa yey na kuondoka na majeshi yake embu think before blabbering
aliyegundua nuclear duniani ni mmarekani...urusi kupitia mashushushu wake wakafanikiwa kuiba teknologia...fuatilia historia. Iran anajenga nuclear kwa msaada wa warusi...wanasayansi wa urusi ndo walikuja tehran kuanzisha mradi huo na vijana wa iran wameenda urusi kusomea nuclear engineering..ili wapate tecnologia ya nuclear...Iran yeye kama yeye hawez kitu...usifikiri nuclear technology unalala tu na kuamka bomu linakua tayari...

kuhusu mmarekani kushindwa vita ni kwamba hakuingia yeye moja kwa moja..angeingia yeye straight kama alivyoingia kumng'oa sadam nafikiri jibu unalo... Iran hajaribu hata nukta moja kwa marekani...anayeweza kumwekea kifua marekani ni olny russia.

unasema kapigwa yeye? lini marekani kapigwa? unajua maana ya kupigwa??
 
Back
Top Bottom