Iran claims to have Father of all bombs greater than US MOAB

F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
kama urusi alikua anamlinda israel basi israel asingelipua ndege ya urusi... na kama alikua anawalinda israel na si syria basi asad angeshang'olewa... urusi haiwezi kutetea maslah ya israel ...ustadh umeshikwa pabaya...
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,652
Points
1,500
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,652 1,500
IS ni kundi lililoundwa na Israel, kama urusi alienda kumlinda Israel iweje aende kuisambaratisha IS??
Hivi wewe unadhani ISIS anapigwa na Russian? Wanaolipiga ni Hazbullah, Syrian na baadhi ya wa Iran. Mrusi hajawahi kuwapiga ISIS zaid ya kwenda kuripua sehemu walizowacha silaha na huo ndio ukweli. Leta footage ya ndege za kivita za urusi zinatarget wanajeshi wa Isis. Mrusi yuko pale kimsaada zaidi kuwasaidia waisrael kuliko kuwadhuru; na dalili nimekuwekea juu hapo soma upate kujua ukweli.
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
Hivi wewe unadhani ISIS anapigwa na Russian? Wanaolipiga ni Hazbullah, Syrian na baadhi ya wa Iran. Mrusi hajawahi kuwapiga ISIS zaid ya kwenda kuripua sehemu walizowacha silaha na huo ndio ukweli. Leta footage ya ndege za kivita za urusi zinatarget wanajeshi wa Isis. Mrusi yuko pale kimsaada zaidi kuwasaidia waisrael kuliko kuwadhuru; na dalili nimekuwekea juu hapo soma upate kujua ukweli.
Hezbolah walichinjwa kama bata.. mrusi akapewa map plan na gen soleiman baada ya kuona wao wameshashindwa vita.. urusi yeye akapeleka ndege za kivita, military advisers na vifaa bora vya mawasiliano ndo hapo wakaanza kutarget position za IS ili kuwaua nguvu... walivyowakata makali ndo hezbolah na iran wakarudi ground kufagia mabaki...kinyume na hapo hezbolah wangeisha wote mpaka nasralah angechinjwa yule..wamshukuru sana urusi
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,652
Points
1,500
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,652 1,500
Hezbolah walichinjwa kama bata.. mrusi akapewa map plan na gen soleiman baada ya kuona wao wameshashindwa vita.. urusi yeye akapeleka ndege za kivita, military advisers na vifaa bora vya mawasiliano ndo hapo wakaanza kutarget position za IS ili kuwaua nguvu... walivyowakata makali ndo hezbolah na iran wakarudi ground kufagia mabaki...kinyume na hapo hezbolah wangeisha wote mpaka nasralah angechinjwa yule..wamshukuru sana urusi
Leta dalili wapi ISIS walisubutu kuwakaribia Hazbullah. Mimi nakupa dalili ndogo sana ISIS walijaribu kuingia Lebanon mpaa leo wamesahau njia ya kuwapeleka Lebanon.
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,384
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,384 2,000

yes well said
 
Hahaha umeandika uwongo mtupu hv mabwana zenu walivyocharazwa 2006 na Hezbollah ilikua ni msaada wa urusi?????no research no right to speak
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
2,568
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
2,568 2,000
Kabla hujam understimate iran mjue aljabbir saw
ha ha ha...mkuu.mbona hata sisi tulipeleka madaktari kenya? tunapeleka mahindi zimbwabwe sijui na namibia huko?? teh teh
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
2,568
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
2,568 2,000
Kumbuka wale ni wanamgambo wa iran sio makomando wa iran sawa mkuu
kama aljazera wanatoa udaku basi sawa

Iran base zake kila siku zinapigwa syria na hafanyi chochote. kama kweli ana mother of all bombs si alirushe tu?
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,652
Points
1,500
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,652 1,500
kama urusi alikua anamlinda israel basi israel asingelipua ndege ya urusi... na kama alikua anawalinda israel na si syria basi asad angeshang'olewa... urusi haiwezi kutetea maslah ya israel ...ustadh umeshikwa pabaya...
Hivi we akili zako Israel alikuwa kakusudia kuipiga ndege ya Mrusi? Kweli unaota, hujawahi kusikia kale kamchezo wanako semaga a friend fire.

Hio ndege kwanza haikupigwa na Israel, ilipigwa na missile za Syria sababu ndege ya Mrusi ilikuwa in cover operation ya ndege ya Muisrael. Sababu ndege ya Israel ili kukwepa missile ilibidi iruke juu ya ndege ya Mrusi, na Rada ya Syria ilipo detect signal kama kuna ndege ya Israel. Kufyatua missile inabidi anae msindikiza akipate.
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,567
Points
2,000
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,567 2,000
leo wanamgambo wa wahuthi wa yemen wameua wanajeshi wengi wa saudia na kuingia kwenye mji wa Najra kuteka maeneo 20...

sasa hawa wasaudia ndo wa kupigana na Iran kweli
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
3,176
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
3,176 2,000
leo wanamgambo wa wahuthi wa yemen wameua wanajeshi wengi wa saudia na kuingia kwenye mji wa Najra kuteka maeneo 20...

sasa hawa wasaudia ndo wa kupigana na Iran kweli
Hebu ongezea nyama kidogo maana mara ya mwisho nisikia kuwa wao waasi wa Yemen wamesitisha mapigano
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,345
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,345 2,000
Hilo Bomu la tani kumi la kurushwa ardhini itakua umelitengeza ww!

Unadhani Bomu ni kombora
We mtoto kama hujui unakaa kimya.
Sio mpk kuonyesha watu kuwa hujui kitu. Na kupoteza wakati wa watu hapa.

Kasome historia ya Bomb linaloitwa The Grand Slam la mwaka 1943 uone lilirushwa na nini.
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
Kumbuka wale ni wanamgambo wa iran sio makomando wa iran sawa mkuu
Tofauti ya wanamgambo na makomando ni ipi? ni mafunzo au ni ubora au vifaa ama?? Hezbolah wenyewe wanajiita ni wanamgambo ila wanamafunzo full ya kikomando
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
Hahaha umeandika uwongo mtupu hv mabwana zenu walivyocharazwa 2006 na Hezbollah ilikua ni msaada wa urusi?????no research no right to speak
Hezbolah silaha na mafunzo anapata wapi? tuanzie kwanza hapo... Nasralah anaishi kwenye mahandaki kila siku...kama ye mwanaume atoke ground
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
Kabla hujam understimate iran mjue aljabbir saw
huwez kutumia wanasayansi wa kale kuonesha nguvu ya taifa kwa sasa kwa sababu ulimwengu unaenda kasi na mambo yanabadilika kiasi kwamba ukichelewa nukta moja tu umeshaachwa...mfano ugiriki ndio ilikua na wavumbuzi wengi sana na sayansi ilianzia huko na hata scientific names nyingi ni za kigiriki...mfano wa kina archmedes na wengine..ila sasa hivi ugiriki ana nini??? sasa iran zaidi ya huyo aljebra kuna nani mwingine wa maana??... sasa hivi ulimwengu unamove...ulishatokaga huko mashariki ya kati kitambo sana...ukaenda europe...ukaenda america sasa hivi unakimbilia china, singapore, south korea na brazil
 
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Messages
566
Points
250
F

francoo1

JF-Expert Member
Joined May 28, 2014
566 250
Leta dalili wapi ISIS walisubutu kuwakaribia Hazbullah. Mimi nakupa dalili ndogo sana ISIS walijaribu kuingia Lebanon mpaa leo wamesahau njia ya kuwapeleka Lebanon.
Following are the names of the Hezbollah commanders and senior officials killed in Syria and details of their positions

Name

Nom de guerre

Commanding post

1. Mohammad Ahmad Issa

Abu Issa al-Iqlim2. Badi’ Jamil Hamih

Jawad3. Hussein Ibrahim Amhaz

Jihad Tura4. Hajj Bassem Ahmad al-Khatib

Abu Mahdi5. Ali Hassan Tarhini

Sayyid Jaber

In charge of the sapper unit in southern Syria

6. Hajj Tareq Ibrahim Haidar

Abu Ali Jawad7. Ahmad Mohammad al-Shi’ar

Abd al-Karim8. Ali Fawzi Taha

Hajj Jawad

Commander of the Al-Rida force[3]

9. Bilal Nadhir Khayr al-Din

Abu Ja’far10. Mahdi Qays Khudur

Sajed Sayda11. Fadi Ahmad Shaouri

Mahdi al-Duweir12. Ali al-Hadi al-Asheq

Hajj Abbas13. Samer Ali Salloum

Malaak14. Hajj Mohammad Hussein al-Hawi

Zuheir15. Ahmad Fawwaz Medlej

Baqer16. Adnan Abbas Qmeiha

Sadeq al-Hakim17. Ali Shehadah Harb

Sheikh Ragheb18. Hajj Mahmoud Hassan Jubaili

Abu Hassan19. Hajj Mundhir Diab Amhaz

Abu Ali20. Hajj Mohammad Sadeq Sharaf al-Din

Abu al-Hoda21. Hajj Nasser Jamil Hudruj

Abu Hussein, Abu Ali Sadeq

Commander of Hezbollah’s rocket battalion in Lebanon [4]

22. Mohammad Sa’id Sa’id

Samir Ahmad23. Mohammad Mahmoud Zidan

Mortada Jibshit24. Nimr Mohammad Ismail

Ali25. Hussam Ali Nisr

Ayman26. Sayyid Wissam Mohsen Sharaf al-Din

Sayyid Nasrallah27. Khudur Ahmad Matar

Tha’er28. Sayyid Ali Hussein Mortada

Sayyid Haydar29. Ali Imad Shuman

Maymoun, Ahmad Mostafa30. Ali Hussein Iskandar

Ali Akbar31. Samir al-Quntar32. Issam Adnan ZahwaOperative of the militia of the Sayyida Ruqayya Brigade[5]

33. Hussein Abd al-Latif Munes

Baqer34. Ahed Mohammad Sa’adah35. Hajj Ahmad Habib Salloum

Abu Ali Mahdi36. Bassel Mohammad Haydar Ahmad

Hadi, Abd al-Rasul37. Hassan Abd al-Jalil Yassin

Abu Hashem, Sadeq38. Qusay Ali Amru

Haydar39. Hajj Bassam Mohammad Tabajah

Dhu al-Fiqar, Abu Mostafa40. Mostafa Badr al-Din

Sayyid Dhu al-Fiqar41. Jamil Hussein Hamoud Faqih

Abu Abdallah, Abu Yasser

Field commander, in charge of the case of the besieged Shiite villages of Al-Fu’ah and Kafraya (northern Syria)

42. Ali Ahmad Sabra

Abu Hassan

Platoon commander in Hezbollah’s rocket unit. Company commander in the “Popular Committees” subordinate to Hezbollah[6]

43. Haydar Freiz Marei

Hamid44. Hajj Hassan Mohammad al-Hajj

Hajj Maher

In charge of the “Aziz unit,” commander of operations in the Al-Ghab Plain (southwest of Idlib)

45. Hassan Mohammad Marei

Hajj rabi’46. Hassan Mohammad Na’ame

Baqer47. Akram Sadeq Hawrani

Sadeq48. Hussein Musa Barakat

Abu Hamza49. Ali Abbas Yassin

Abu Zahraa, Hussam50. Ali Subhi Haydar

Siraj51. Kamal Ali Hudruj

Ja’far, Baqer52. Mohammad Ali Abu Hamad

Abu Zaynab

Regional commander

53. Hajj Abbas Haydar Riyya

Abu al-Fadl54. Sayyid Hassan Ali Fahs

Abu al-Fadl55. Mohammad Qassem Abdallah Ghamloush

Hajj Hadi Ghamloush

Field commander

56. Mohammad Abd al-Rahman al-Atrash

Abu Khudur57. Musa Mahmoud Hamdan

Abbas58. Ali Hussein Hamad Balhas

Hajj Jawad, Hajj Ali Kawkab, Abu Hussein Balhas59. Hussein Mohammad Younes

Abu al-Fadl60. Ali Ahmad Fayad

Alaa al-Bousna

Commander of Hezbollah’s Special Forces

61. Sayyid Khalil Ali al-Sayyid Hassan62. Kamal Hassan Biz

Gharib

Commander in the Al-Abbas Brigade[7]

63. Mohyi al-Din Mohammad al-Dimassi

Hajj Samir64. Ramzi Ali Mughniya

Tha’er65. Samir Ali Awadah

Abu Ali al-Naqib66. Hassan Mohammad Musa Abd Ali

Abu Ali Malek67. Hatem Adib Hamadah

Hajj Alaa68. Bilal Ali As’ad Sindian

Jawad69. Mahdi Hassan Ubayd

Hajj Abu Rida70. Hamza Ibrahim Haydar

Abu Mostafa71. Hussein Sami Rashid

Hajj Baqer72. Ali Mohammad Biz

Abu Hassan Baz, Bilal Sherri, Mirza

Commander of Region 4 in Homs and in charge of operations in the Homs rural area

73. Khattar Tawfiq Abdallah

Hajj Walaa74. Hussein Khalil Ali Mansour

Haydar Ayta75. Mohammad Mahmoud Odah

Hajj Mohammad76. Hajj Hussein Salah Habib

Abu Ali Rida77. Hassan Hariri78. Rida al-Sha’er79. Sayyid Hassan Faisal Shukr

Sayyid Sajed, Sajed al-Hashemi80. Mohammad Hassan Shahadi

Abd al-Zahraa

Field commander

81. Mohammad Hassan Hamadah

Hajj Bashar82. Sayyid Khudur Nasrallah Nasrallah

Rida al-Dakroub83. Hussein Talal Shalhoub

Abd al-Rasul84. Hassan Khalil Mohyi al-Din Malak

Sajed85. Ali Hussein Bazzi

Sajed86. Hussein Abd al-Karim Yassin

Raouf87. Ali Dargham Fares

Abu Alaa, Tha’er88. Abbas Ali Shuman

Ali Haydar89. Mazen Diab Shukr

Sayyid Nour90. Hassan Ali Khalil Yassin

Alaa91. Ayman Abd al-Hussein Muslimani

Yasser92. Mohammad Abd al-Karim Muntesh

Abu Ja’far93. Hassan Mansour

Abu Ali Maytham94. Hajj Fawzi Ayyoub

Abu Abbas95. Mahmoud Mohammad Hayek

Bahaa96. Mahmoud Ali Mazloum

Jawad, Hajj Alaa97. Hussein Qassem Shukr

Sayyid Nour98. Sayyid Adnan Mortada99. Ghassan Hussein Faqih

Sajed al-Tiri

Company commander in the Radwan Battalion (Hezbollah’s elite force)

100. Arafat Hassan Taleb

Abu Ja’far101. Hassan Mahmoud Diab

Baqer102. Ali Dandash Dandash

Hajj Nazih103. Hamza Hassan al-Hajj Diab

Abu Abbas104. Hassan Abd al-Mun’im Jarradi

Fallah105. Mohammad Abbas Younes

Fidaa106. Hassan Mahmoud Nasser al-Din107. Hussein Khalil Abbas108. Musa Ali Jarradi

Haydar109. Sayyid Mohammad Hassan Nour al-Din110. Mohammad Saleh

Asakri111. Imad Ghazi Ghazla

Ayman112. Nizar Ahmad Tarraf113. Taleb al-Zayn

Abu Ali
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,652
Points
1,500
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,652 1,500
Hezbolah silaha na mafunzo anapata wapi? tuanzie kwanza hapo... Nasralah anaishi kwenye mahandaki kila siku...kama ye mwanaume atoke ground
Hizo ni kelele za western mediam na Israel, wao wanaushahidi upi anaishi kwenye handaki? Ingekuwa Israel anaona kila kitu angeona silaha wanazo tengeneza Hamasi kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,544
Top