Iran bans women from watching live soccer matches in movie theaters

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Women soccer fans in Iran may be banned from live broadcasts," by Reza Sayah for CNN, January 22:
(CNN) -- Iranian authorities have ordered a ban on women from watching live broadcasts of soccer matches at public movie theaters, the semi-official ILNA news agency reported. A state police agency that monitors Iranian businesses called for the ban because "the presence of women and families at movie theaters increases security risks and inappropriate behavior," ILNA reported....
Women already are banned from attending men's soccer matches at stadiums.
Hard-line government officials and clerics say the presence of women at men's sporting events is not compatible with Islam.
 
Because "the presence of women and families at movie theaters increases security risks and inappropriate behaviour." What are these security risk?
 
huu utakuwa ni unyanyasaji wa kijinsia, kwanini wasipewe uhuru wao wa kushiriki michezo?this is totally unacceptable
 
.
Who is that going to give them permission if they wont get it themselves?
.
 
Mfano huu sasa ni mtindo wa Uajemi. Ningeshukuru kama Waislamu wa hapa JF wanaweza kusema kama
a) wanaona utaratibu huu unalingana na Uislamu wanavyoelewa wenyewe
b) kama wangependelea wanawake Waislamu waitikie utaratibu huu pia Afrika ya Mashariki
 
QURAN: 2:23
We KAFIRI MAX lete sura moja tu iliyotungwa na "mtu" uchallenge QURAN ! ......... wewe ni kuni tuu !!!

Kwanza nashukuru ya kwamba unafika hapa katika thread hii ngumu. Ukiwa Mwsialmu wa pekee hadi sasa naomba usipoteze muda wako na matusi ya Maxi (maana wanaompenda watampenda tu kama unaandika au la na wengine wanamjua "huyu tena")

Ila tu itasaidia sana ukiweza kusema kama mfano huu wa wanawake kukataliwa kutazama michezo ni mtindo wa Uajemi tu au kama una maana kwa Waislamu Afrika pia.

a) je unaona utaratibu huu unalingana na Uislamu jinsi unavyoelewa mwenyewe ?
b) je unapendelea wanawake Waislamu waitikie utaratibu huu pia Afrika ya Mashariki?
 
..... naomba nikuulize swali kabla ya kukujibu ! ............... hao wanawake wanaoenda kuangalia Mpira, wanaenda na waume zao au peke yao ? ni kitu gani kime raise alarm ? Uislaam unaruhusu Wanawake na Wanaume kuchanganyika ? (haswa kwenye social events), idadi yao ni kiasi gani? nani ana beba dhamana ya usalama wao ( are they dating or watching football?)!
 
QURAN: 2:23
......... " Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliomteremshia Mtumwa Wetu (Muhammad s.a.w), basi leteni sura moja (chapter) iliyofanywa na (Mtu) aliye mfano wake, na muwaite waungu wenu bighairi (badala)ya Mwenyezi Mungu (wakusaidieni), ikiwa mnasema kweli !''

........... " Na msipofanya (mkishindwa) na hakika hamtafanya kamwe; basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe, uliowekewa makafiri" QURAN: 2:24
............. " Huwaoni wale waliopewa sehemu ya Kitabu? (cha Mwenyezi Mungu; Mayahudi na Wakristo) wao wanakhiari upotevu na wanakutakieni mpotee njia ( ya kweli) QURAN: 4:44

We KAFIRI MAX lete sura moja tu iliyotungwa na "mtu" uchallenge QURAN ! ......... wewe ni kuni tuu !!!

It seems, bado hujamjuwa allah wako weye.

Msome mwenye uone jinsi alivyo juha. Sasa, niambie, allah wako anamsaidizi? Mbona anasema "Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliomteremshia Mtumwa Wetu (Muhammad s.a.w)" TULIOMTEREMSHIA MTUMWA WETU. Astkafulahi, sina hamu tena na kitabu chenu kilicho jaa shaka. OOhh allah hana msaidizi, ooh allah hana mke, Sasa nani huyo anaye zugumza na allah wako, KAMA SI MKE WAKE?
 
Kwanza nashukuru ya kwamba unafika hapa katika thread hii ngumu. Ukiwa Mwsialmu wa pekee hadi sasa naomba usipoteze muda wako na matusi ya Maxi (maana wanaompenda watampenda tu kama unaandika au la na wengine wanamjua "huyu tena")

Ila tu itasaidia sana ukiweza kusema kama mfano huu wa wanawake kukataliwa kutazama michezo ni mtindo wa Uajemi tu au kama una maana kwa Waislamu Afrika pia.

a) je unaona utaratibu huu unalingana na Uislamu jinsi unavyoelewa mwenyewe ?
b) je unapendelea wanawake Waislamu waitikie utaratibu huu pia Afrika ya Mashariki?

Kipala, mimi bado nakuombea kwa Yesu Kristo azidi kukubariki na akupe hekma yake. That is all I can do for you. By-the-way, JESUS LOVES YOU. So do I.
 
..... naomba nikuulize swali kabla ya kukujibu ! ............... hao wanawake wanaoenda kuangalia Mpira, wanaenda na waume zao au peke yao ? ni kitu gani kime raise alarm ? Uislaam unaruhusu Wanawake na Wanaume kuchanganyika ? (haswa kwenye social events), idadi yao ni kiasi gani? nani ana beba dhamana ya usalama wao ( are they dating or watching football?)!

Samahani kama nimeuliza swali gumu mno linalohitaji uangalifu hivi!
Katika dunia yangu wanawake wanaweza kuwa na azimio lao.
Nisipokosei ni zaidi vijana wanaopenda uwanja wa michezo hivyo wengine watakuwa bila mume.

Wakiwa na mume labda hapendi kuangalia mpira.
Kama Uislamu unaruhusu kitu ni swali langu kwako - usiniulize!
Nisipokosei wanawake wanaofanya kazi wanaenda ofisini bila mume - kwangu kazi ni "social event" pia.
Kwa nini fulani (mwanaume????) abebe dhamana kwa usalama wa wanawake?
Katika dunia yangu kuna matata ya usalama uwanjani yanayotakiwa kuangaliwa na wasimamizi wa uwanja - au unamaanisha nini?

Je ungeridhika kama wanawake wangepata viti vya pekee uwanjani?
 
Mchungaji! Yaani unataka kutafuta kila sababu ili mradi wanawake na wanaume wachanganyikane tu au sio?
 
Back
Top Bottom