Iran: Baadhi ya viongozi wa nchi za kiislam ni vibaraka wa Marekani na Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Kiongozi Muadhamu: Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni
Apr 15, 2019 14:43 UTC
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu hawafanyii kazi maamrisho ya Qur'ani na ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni.
Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo hapa mjini alipokutana na washiriki wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani na kusisitiza kuwa, kuifanyia kazi Qur'ani Tukufu kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha kwamba, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu wamekuwa chanzo na chimbuko la hitilafu, mifarakano na vita kama vya Syria, Yemen na kuuawa Waislamu.
Ayatullah Khamenei amesisitiza kuwa, matatizo na masaibu mengi ya Umma wa Kiislamu na jamii ya wanadanmu yanatokana na kutoyafanyia kazi maarifa ya Qur'ani Tukufu.
Aidha Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongeza kuwa, hii leo kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hali ya wananchi hasa vijana kuyapokea na kushikamana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu imekuwa ikiongezeka siku baada ya siku; na kwamba, hii hali ya kushikamana na Qur'ani Tukufu ndio itakayokuwa chimbuko la saada, nguvu na heshima ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.
Ayatullah Khamenei, ameashiria uadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kwamba, licha ya kuwa uadui huo umeongezeka kuliko huko nyuma, lakini inaonekana kuwa, hatua na njama hizi zinavuta pumzi zake za mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu huyo hachoki kuisema Israel na marekani

So? Pepo la shetani linakutesa
 
Dah, eti hiyo inajiita serikali ya kidini. Hata akina Al Qaeda, Isis, Boko Haram, Al Shabab, Taliban nk, wakitwaa madaraka nao watajiita "Serikali ya Kidini". It's very interesting indeed.
 
Kibaraka wa kwanza wa marekani kwa mataifa ya mashariki ya kati ni IRANI. Ni watu wenye trick sana wanaojifanya kama wanamsimamo mkali kwa mataifa ya magharibi hususani marekani lakini kiuhalisia hawapo hivyo. Taifa hili linalojinasibu na uislamu asilimia kubwa ni MASHIA. Na hawa mashia ni watu ambao wanatengeneza mitego kwa waislamu ambayo mpaka sasa inaendelea kuichafua jamii ya kiislamu na kuonekana magaidi. Wanatengeneza chokochoko zinazowagombanisha waislamu wanaingia kwenye mapigano,marekani inajifanya kwenda kupambana na magaidi mwisho wanaangamiza kabisa waislamu kwa kujifanya wanawaua magaidi. Mwisho wanamuweka kiongozi MSHIA kama walivyofanya nchi nyingi zikiwemo IRAQ na AFGHANISTAN. Iran ni washirika wa marekani nyuma pazia. Wanadhihirisha uadui kumbe marafiki. Waislamu haya mapigano haya yatatumaliza,tunachezewa akili na maadui wa uislamu kutumaliza. Wametuita jina baya la ugaidi ili kutuangamiza. Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
 
Back
Top Bottom