IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

😂😂 Mkuu usi complicate mambo kuliko yalivyo.... Mathematical concepts unazotakiwa kujua ili ufanye ilo swali ni SUBSTITUTION na BODMAS baaasi
Na ndizo nilizotumia na jibu ni 20. Kama utasema kuna filimbi isiyoonekana shingoni halikadhalika hakuna aliyesema huyo refa yuko peku.
 
Back
Top Bottom