IQ test!Nini Ukweli juu ya hili?

Mzee Mwafrika

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
203
99
Wakuu naomba mnisaidie kuhusu hichi kipimo cha IQ.Vipi kuna ukweli juu ya suala hili?Je kiwango cha IQ kinaongezeka au tunazaliwa na kiwango fulani ambacho hakibadiliki?Msaada pliiz
 
Well, man hicho kitu kipo.
Actually, ni combination ya vitu vingi sana kama uwezo wa kukumbuka, lugha, hesabu (za fastafasta), graphics, utambuzi nakazalika.

Kwa kawaida mtu anaweza kuwa na iq kubwa katika jambo fulani lakini akawa mchovu kabisa kwa mengine.

Imagine, shaaban robert au shakespear: kwa lugha -saluti lakini bila shaka hesabu zingeweza kuwa tatizo.

hata social iq ipo. Ushafikiri ugumu au urahisi ulionao kuzoeana na watu! You meet a new person, you don't know wat to do! whilst rafiki yako anaweza kumzoea baba ako in minutes though mwenyewe unaogopa.

IQ yenyewe ni uwiano wa mental age to chronological age times 100

"Thus, a subject whose mental and chronological ages are identical has an IQ of 100, or average intelligence. However, if a 10-year-old has a mental age of 13, his IQ is 130, well above average. Since the average mental age of adults does not increase past age 18, an adult taking an IQ test is assigned the chronological age of 18." Brittanica.

jaribu test moja hapa:http://www.iqtest.com/prep.html?test=final
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom