IQ Test: Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake wa kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati wa watu?

Ndo maana ikaitwa IQ test. IQ test MTU anapimwa uelewa wake wa mambo mbalimbali in general. To know is a blessing and to do not know is a curse.

The code was very easy. I asked the same question at Nairalanders and I got the answer in less than five minutes..

Matter fact, humu ndani Hakuna wanasheria kwani?

Anyways " Ignorantia juris non excusat"

Bottom line Kwa kijana yoyote ambae ni graduate wa fun yoyote Ile hawezi shindwa kujibu swali rahisi kama Hilo..

Kwahiyo wote ambao wamejibu na hawajapata jibu sio graduates?

Eeka hiyo link uliyopost the same question huko keenye hiyo forum.
 
Wanaweza kuwa graduates lakini vilaza. Code rahisi kama hiyo unakosaje mkuu?
Hivi unajua maana ya kuwa an intelligent person or an intelligent officer?

U need more exposure bro.

Umepita sehemu umekuta MTU amefariki wewe kama intelligence officer unatakiwa utuambie huyo MTU ana umri WA miaka mingapi unapokuwa unatoa taarifa .

Hatutarajii utuambie kwamba haujui umri WA MTU huyo Kwa Sababu wakati anazaliwa haukuwepo .. hapo utakuwa a layman Na sio an intelligent person.

Hicho ndicho unachoma taka ku establish hapa.
 
Stay in the know. An intelligence person unatakiwa kuwa una Jua vitu vingi Sana. Humu ndani Kuna Wana sheria but wameshindwa kujibu pia so it is not all about being ur professional or something but it is all about u being an intelligent person.
Intelligence person is the one who knows everything or ???? Anyway back to the point ☝️, ur question setup and answer does not recognized or it directly neglected other fan groups at all.
But I should thanks u for ur challenge.
 
Ndo maana ikaitwa IQ test. IQ test MTU anapimwa uelewa wake wa mambo mbalimbali in general. To know is a blessing and to do not know is a curse.

The code was very easy. I asked the same question at Nairalanders and I got the answer in less than five minutes..

Matter fact, humu ndani Hakuna wanasheria kwani?

Anyways " Ignorantia juris non excusat"

Bottom line Kwa kijana yoyote ambae ni graduate wa fun yoyote Ile hawezi shindwa kujibu swali rahisi kama Hilo..
Hapa kwa magraduater mkuu tengua kauli, usituhadae mkuu😂😂😂
 
Learned brother tafsiri yake ya kiswahili ni nini? Na tafsiri sisisisi je? Lawayers wanaitanaje kwa kiswahili? Ama "hawajui/ hawaongei" kiswahili?

Napita tu kaka zangu!
 
Wanaweza kuwa graduates lakini vilaza. Code rahisi kama hiyo unakosaje mkuu?
Hivi unajua maana ya kuwa an intelligent person or an intelligent officer?

U need more exposure bro.

Umepita sehemu umekuta MTU amefariki wewe kama intelligence officer unatakiwa utuambie huyo MTU ana umri WA miaka mingapi unapokuwa unatoa taarifa .

Hatutarajii utuambie kwamba haujui umri WA MTU huyo Kwa Sababu wakati anazaliwa haukuwepo .. hapo utakuwa a layman Na sio an intelligent person.

Hicho ndicho unachoma taka ku establish hapa.

Chief, you mentioned graduates in any field! I see now now it gets to intelligence officer.

Just simple thing to back your allegation, can you please provide the link you posted the same post and received the correct answer in a very short time?

My exposure got nothing to do with our discussion, albeit for now. Just prove your statements.
 
I rest my case
 
Umejaribu vizuri sana. However mapadre hawaoi. Haupo Mbali Sana Na jibu.

Nimeshatoa jibu tayari. Hawa ni wanasheria. Baba Ni wakili WA muda mrefu Na Dogo ndio kapata uwakili. Hapo Ni kwenye sherehe ya kumpongeza Dogo kuwa wakili. They have become Learned brothers

Kwenye mtihani wangu ningekupa 9 over 10. Big up Sana.

In your opinion, "learned brothers" as applied in law context and "kaka yangu" refered in you question means the same, right?
 
Ndo maana ikaitwa IQ test. IQ test MTU anapimwa uelewa wake wa mambo mbalimbali in general. To know is a blessing and to do not know is a curse.

The code was very easy. I asked the same question at Nairalanders and I got the answer in less than five minutes..

Matter fact, humu ndani Hakuna wanasheria kwani?

Anyways " Ignorantia juris non excusat"

Bottom line Kwa kijana yoyote ambae ni graduate wa fun yoyote Ile hawezi shindwa kujibu swali rahisi kama Hilo..
We uliza story za umbea na majungu watapata wote,watanzania ni vilaza hilo halina ubishi
 
Hata maskauti huitana brother/sister hivyo si wana Sheria Tu.

Naomba thread ifungwe
 
Back
Top Bottom