IPTV TV Kupitia Android na Computer

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,493
2,000
nataka kujua kuzitazama je nahitaji kuwa na bando???au ni free baada ya kulipia kifurushi
 

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
434
500
JINSI YA KUTUMIA AU KUANGALIA CHANNEL ZA DSTV KWENYE SIMU YAKO YA SMARTPHONE AMA COMPUTER NA LAPTOP HATA KAMA HUNA KIG'AMZI CHA DSTV

Nimetumia app nyingi sana za iptv kweny cm ila Dstv ni mwisho wa matatizo yote haili mb kabisaa yaani unataza mpira wa dakika 90 kwa mb 300 tu kuna mahali unaseti ili kupunguza ulaji wa mb sana mpaka kwa saa unatumia mb210 tu wakati app zingine unatumia mb 600 mpaka gb1 kwa kutazama mechi 1 tu Dstv ni mkombozi wa wanyonge kwa kwel, harafu pia haigandi gandi yaani hakikwami kwami ovyo kama app zingine kama mobdro, livenet, fefatv nk

Kwanza jisajili na Dstv kwa kuingiza nba za smart and za Dstv, utatumiwa code na itafuata utaratibu watakao kuelekeza mpaka utamaliza iwe kweny app yao kwa kutumia cm au vovote

Ukisha maliza kujisajili na Dstv kweny cm yako au ukiwa na details za account ya Dstv kwa maana ya email na password iwe yako au rafiki yako ingia kweny browser ya cm yako au computer yako au laptop kisha pale kweny engene search Dstv now na itafunguka na baaada ya kufunguka kina web yao au link ya kwanza kabisaa ya Dstv hiyo iguse itafunguka pia itakuepeleka kweny web yao utakuta kulia kwa juu kuna sehem pameandikwa log in na chini sign in sjuii kama nitakuwa nmechanganya au vp ila ww kaguse ili link ya juu kilia kwako au hata ikiwa katikati ila iwe ya juu itakudai uwekw details zako weka email ulotumia kujisajili dstv na chini itataka password nayo utaweka pale juu kweny email ikizingua na kukuandikia invalid utatoa hiyo email na utaweka namba ya simu ulotumia kujisajili utaiweka kwa kuanza na 7 au 6 kuendesha usianze na 0756 69... Au 062028...

No anza na 7 au 6 kuendelea kumbuka kuweka Tanzania kisha log in au inter na itaload kwa mda na itafunguka ikiwa hizo details ulizoweka ni sahihi na utakuwa unakula raha tu ikifunguka unaweza kukuta vibox mfano wa picha vyenye majina kwa juu ww usibabaike gusa kibox kimoja wapo na utaona zinafunguka vizuri kabisaa na kwa chini utaona options za livetv setting na nk all channels, sports, nk,..

KAMA HUNA KIG'AMZI CHA DSTV MIMI NINA ACCOUNT YA DSTV TAYARI KWAIYO NINA WEZA KUKUPA DETAILS ZANGU ULOG IN NA ULE RAHA YAANI UTAPATA KUTAZAMA ZAIDI YA CHANNEL 120, FOOTBALL, NBA, WWE, NK KWA MALIPO YA TSH ELF10 TU NICHEK UKIHITAJI NICHEK KWA 0756 695846 NIKUELEKEZE MWANZO MWISHO

KUMBUKA HAKUNA MALIPO YA KILA MWEZI UKILIPA MARA HAMNA KILIPA TENA NI KULA BURUDANI MWANZO MWISHO.. NICHEK TUYAJENGE.
TAHADHALI,

KUMBUKA KAMA UNATUMIA CM WEKA TICK KWENYE DESKSTOP MODE AU ENABLE DESKSTOP SITE NDIO ITAFUNGUKA IKIWA UNATUMIA CM NA UKIJISAHAU KUWEKA DESKSTOP MODE INAWEZEKANA ISIFUNGUKE KABISA .
PicsArt_02-18-04.36.34.jpeg
PicsArt_02-18-04.42.15.jpeg
Screenshot_20200218-163053_DStv%20Now.jpeg
Screenshot_20200218-163046_DStv%20Now.jpeg
 
Top Bottom