saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
WAMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA MBUNGE ZITTO KABWE NA GAZETI LA RAIA MWEMA
IPTL WAMEFUNGUA KESI PAMOJA NA PAN AFRICAN POWER SOLUTION TANZANIA LIMITED KUPINGA SAKATA SAKATA LA ESCROW KUJADILIWA TENA BUNGENI KUFUATIA RIPOTI KADHAA WALIZOZIPATA, HUKU WAKISISITIZA KUWA ZITO KABWE ALIKUWA NA MGONGANO WA MASILAHI WAKATI ALIPOKUWA AKIJADILI SAKATA LA ESCROW BUNGENI LAKINI HAKUWEKA WAZI , KINYUME NA KANUNI ZA BUNGE NA SHERIA KWA UJUMLA.
KATIKA MAELEZO YAO IPTL WAMEELEZA KUWA KABLA YA KUJADILIWA KWA SAKATA LA ESCROW BUNGENI WALIKUWA TAYARI WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA ZITO KABWE NA MHARIRI WA RAIA MWEMA WAKIWASHITAKI KWA KUSEMA NA KUCHAPISHA HABARI KWENYE GAZETI HILO WAKIDAI KUWA KULIKUWA NA FEDHA ZA UMMA KWENYE AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.
ZITO KABWE HAKUWEKA WAZI UWEPO WA KESI HIYO SEHEMU YOYOTE KATIKA MJADALA WOTE WA BUNGE KUHUSU KILE KILICHOITWA SAKATA LA TEGETA ESCROW. KUTOWEKA WAZI HUKO KULIPELEKEA BUNGE KUPOKEA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI KUTOKA KWA MTU AMBAYE ALIKUWA NA MASLAHI KATIKA JAMBO HILO’’ INASOMEKA SEHEMU YA PINGAMIZI LA IPTL