IPTL saga: Tanzania kuilipa Standard Chartered Dola za Kimarekani Milioni 185

MKWEPA KODI Kesi tunazoshinda tuna maamuzu kabla ya hukumu huku kwengine hatuna ujanja huo
Kwa hiyo tunashinda kesi za kuifanya CCM itawale milele lakini hatuwezi kushinda kesi za nje za kulinda uchumi wetu?, kama ni hivyo basi uchumi wa kati ni ndoto tu
 
Unajuaje kuwa serikali inazo taarifa hizo!? Hata kama inazo labda bado inazifanyia kazi. Kwani zimetoka lini hizo taarifa kwa nyie wenye kufuatilia kesi za serikali, hasa zile INAPOSHINDWA?
Serikali iliwakilishwa na mawakili wa serikali sasa inakuwaje haijapata taarifa wakati wananchi tuna taarifa
 
Serikali ina taharifa na jawabu si kukata rufaa ni kulipa hata baba Yesu arudi ni kulipa tu hamna namna. Si la kufurahia ni la kulia
😂😂😂😂 mkuu tulikuwa tunafurahi mafisadi wanarudisha hela kumbe kuna balaa linakuja, kweli CCM kwa mtindo huu itatawala milele😂😂😂😂
 
Kampuni zote siyo malaika ila ACACIA walizidi kutuibia wazi wazi, walikuwa wanasema huu ni mchanga tuu hauna madini lakini wanatumia gharama kuusafirisha. We umeona wapi mfanyabiashara anatumia gharama kusafirisha mzigo usio na faida?
Man, usipende kusikiliza maneno ya watu! Ni wapi walisema huu ni mchanga tu hauna madini wakati hata ukiingia kwenye website yao wameandika 50%ya mapato yao yanatokana na makinikia?!
Acacia operates three gold mines in Tanzania: Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara. Due to the rock formations at Bulyanhulu and Buzwagi, these mines produce both gold/silver bars (doré) and a concentrate which contains gold, silver and copper. The sales of the gold/copper concentrate account for approximately 50% of the combined revenues of Bulyanhulu and Buzwagi and 30% of group revenues.
Au labda unaweza kudhani walianza kuweka huo uwazi baada ya kutikiswa lakini binafsi nashuhudia hilo lilikuwa wazi hata kabla ya huo mtikiso! Na katika kukuthibitishia hilo, March 27, 2017 niliandika hii thread hapa chini:-
Kwenye hiyo thread niliambatanisha na Ripoti ya TMAA ya mwaka 2011, ambayo sehemu ya ripoti inasema:-
Acacia.png

Haya, TMAA hao wameandika viwango vya madini mbalimbali vinavyotokana na makinikia ya Acacia!

Tena labda nikujuze jambo moja! Mwanzo nilizungumzia suala la Acacia zamani kuitwa African Barrick Gold! Hapo juu ndo kipindi inaitwa ABG... yaani walikuwa taabani! Walitaka kuuza migodi yao lakini Mnunuzi akachomoa hatua za mwisho!

Sasa watainusuri vipi kampuni, ndipo wakamwajiri Brad Gordon kama CEO, na yeye sharti lake la kwanza ilikuwa kubadili jina kutoka African Barrick Gold to Acacia kwa sababu tayari ABG ilikuwa na poor image!

Ninachotaka kusema ni kwamba, hata wakati "Acacia" wapo hoe hae, serikali ilikuwa inafahamu viwango vya madini vinavyotokana na makinikia! Sasa how come tena udai kwamba Acacia walikuwa wanadanganya mchanga ulikuwa hauna madini?!
 
  • Thanks
Reactions: _ID
huku ni kuchafua taswira ya shirika

Ushauri: ...Menejimenti ya shirika ingemuomba Mh.RC wa Dar awalipie.. ni mtu mwenye utu,na anapenda kusaidie kwa connection zake..

in fact hata kigombozi cha Airbus yetu iliyokuwa imeshikiliwa kule S.A yy ndiye aliyelipa
 
Haya matatizo yote yamesababishwa na serikal iliopita

leo hii taifa kila liktaka kucmama linavumbuliwa maden tu

af ile pesa ya escrow iliopoteaga atujui iliendaje endaje inabd zrud zlupe den
 
Man, usipende kusikiliza maneno ya watu! Ni wapi walisema huu ni mchanga tu hauna madini wakati hata ukiingia kwenye website yao wameandika 50%ya mapato yao yanatokana na makinikia?!Au labda unaweza kudhani walianza kuweka huo uwazi baada ya kutikiswa lakini binafsi nashuhudia hilo lilikuwa wazi hata kabla ya huo mtikiso! Na katika kukuthibitishia hilo, March 27, 2017 niliandika hii thread hapa chini:-Kwenye hiyo thread niliambatanisha na Ripoti ya TMAA ya mwaka 2011, ambayo sehemu ya ripoti inasema:-View attachment 1235866

Haya, TMAA hao wameandika viwango vya madini mbalimbali vinavyotokana na makinikia ya Acacia!

Tena labda nikujuze jambo moja! Mwanzo nilizungumzia suala la Acacia zamani kuitwa African Barrick Gold! Hapo juu ndo kipindi inaitwa ABG... yaani walikuwa taabani! Walitaka kuuza migodi yao lakini Mnunuzi akachomoa hatua za mwisho!

Sasa watainusuri vipi kampuni, ndipo wakamwajiri Brad Gordon kama CEO, na yeye sharti lake la kwanza ilikuwa kubadili jina kutoka African Barrick Gold to Acacia kwa sababu tayari ABG ilikuwa na poor image!

Ninachotaka kusema ni kwamba, hata wakati "Acacia" wapo hoe hae, serikali ilikuwa inafahamu viwango vya madini vinavyotokana na makinikia! Sasa how come tena udai kwamba Acacia walikuwa wanadanganya mchanga ulikuwa hauna madini?!
Dah, na wewe ukaamini maneno yao kuwa walikuwa wana pata hasara.Wewe huwajui tu hawa jamaa, wapo "on code" they never snitch on their own.

Hivi walilazimishwa kufanya biashara Tanzania? Kwa nini wameng'ang'ania? Mfanyabishara gani anayeng'ang'ania kufanya biashara yenye hasara?
 
huku ni kuchafua taswira ya shirika

Ushauri: ...Menejimenti ya shirika ingemuomba Mh.RC wa Dar awalipie.. ni mtu mwenye utu,na anapenda kusaidie kwa connection zake..

in fact hata kigombozi cha Airbus yetu iliyokuwa imeshikiliwa kule S.A yy ndiye aliyelipa
😀😀😀😀😂😂😂
 
Tsh 1.5 trillion pia ilipotea awamu zilizopita...
$12m kw akili ya matibu ya ndugai nayo ilikua awamu zilizopita
Haya matatizo yote yamesababishwa na serikal iliopita

leo hii taifa kila liktaka kucmama linavumbuliwa maden tu

af ile pesa ya escrow iliopoteaga atujui iliendaje endaje inabd zrud zlupe den
 
Back
Top Bottom