IPTL Katika Picha: Jamani Wanajali.

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,401
Upendo wa hali ya juu kwa watanzania!
images
images
images

images
images
images

IPTL+2.jpg
images
images
images
images
 
ongeren iptl kwa kuwajali wa tanzania
hachaneni nao hao wachumia tumbo ambao wanataka kuwachafua tu na kuwaludisha nyuma katika harakati zenu za kimaendeleo kuwasaidia watanzania
 
basi mgao hadi kwa wachungaji...siojaona mashehee


3.jpg
Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (kulia) na Meneja maswakla ya kampuni wa IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta (katikati) wakikabidhi sehemu ya bidhaa zilizonunuliwa wakati wa karamu ya chakula kwa watoto yatima wapatao 500 kutoka vituo mbali mbali Dar es Salaam na Wilaya ya Kondoa, kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak, ambao waliandaa karamu hiyo baada ya kufadhiliwa na IPTL.

http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/iptl-al-madinah-washerehekea-sikukuu-ya-eid-na-mayatima-500
 
hacha tamaa kijana

sio tamaa, kama watu walipewa kwenye magunia kwani mimi sio mtu. Kama zipo naomba chenji nikafanye mabo ya maana maana najua hata zikirudishwa zitapitia mlango wa nyuma. We hela za radar uliziona????? Tuliskia tu zimewekwa katika elimu sekta ambayo inazidi kufa kila siku. Iptl kama kuna mgao msinisahau, full stop.
 
hiyo inaitwa Corporate Social Responsibilities.....for good public image...(regardless)
 
Back
Top Bottom