IPPMEDIA, Magazeti mapya na nyeti za marsha na karamagi

Watanzania tuko busy kujadili mambo binafsi ya watu badala ya kujadili jinsi gani ya kuondoa umasikini wetu
 
we are finished! why discuss about people instead of issues of national interest? is jf taking over from global publishers? lets maintain the status of jf for being creative,innovative and open minded.we need reseached information to be shared among us and help our nation move and remain safe from the few grid fellas maarufu kama mafisadi

You have to think outside the box, the thing here is "vita dhidi ya mafisadi" na hiyo ndio issue sasa tutaizungumzia vipi vita hii bila kujadili wanaoshiliki na hila zao?
 
Waongeze mengine mengi yawachambue mafisadi wanaotuibia na kufanyia uhuni fedha za walipa kodi.Viongozi wasiowaadilifu wanavunja ndoa za watu.
 
Ni wazi Mengi amepania kummaliza Masha pasipo sababu, ninaamini hayupo peke yake, kuna watu nyuma yake ambao wametengeneza mtandao kwa ajili ya kufanya kazi hiyo. Kwa mfano, SEMA USIKIKE inasema Masha alisafiri tarehe 1 Oktoba kwa Swiss Air akitoka Dar kwenda Geneva. Binafsi nilikutana na Masha Dubai tarehe hiyo hiyo akitoka China Kwa safari ya Kikazi, hapa ndipo maswali yanakuja hawa wanaandika ukweli au wanataka kutuaminisha wanayotaka wao? Kwa taarifa tu, Gazeti la majira limenunuliwa na Mengi pia.


....Mkuu, Hii una uhakika nayo? Hebu tupe data zaidi tafadhali...!
 
tusicho hitaji sie ni uongo.
ukweli wote tunautaka.
viongoz lazima wawe na maadili mazur

huenda mengi ana ajenda zake za siri. mi namtaka asiseme uongo au asitumie vyombo vyake vya habari kusema uongo, asituchafulie viongoz wetu wazur wakaonekana hawafai machoni petu - kwani kama hawapendi wasaf watakuja au atakuwa anawapenda wasiofaa. hii ni sampuli ingine ya ufisadi

lakin kama yanayoandikwa ni kweli, mwache aandike. hatuhitaj viongoz wa ovyo. yote mpaka ya ndan yaandikwe. na kwakufanya hivyo atakuwa anajitolea kupigana kwa niaba ya jamii ya watu wote wanaoitakia heri na baraka tz leo na kesho
 
Hii mzee kali,duu!

Naona Ippmedia imeingiza gazeti jipya sokoni likienda kwa jina la SEMA USIKIKE. Gazeti hili toleo la 001 limebeba kichwa cha habari Masha akutana na wababe wa mchezo mchafu geneva -kikao kilifanyika 5 okt 2008 saa 12 hadi 2 usiku chumba0306 hotel mandarin oriental.

Pili naona wamefufua gazeti lao la Taifa letu(binafsi nilikuwa sijaliona long time may b memberz mlishaliona).Toleo la leo na. 00487 lina habari "karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo wenzake, avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe, anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao.Linabainisha kuwa mkuu wa wilaya yupo huko kigoma na ni kijana..
Nikiangalia kumbukumbu zangu naona DC kijana either ni mh. mongela Wa kigoma urban/rural or mh. Bwanamdogo DC wa kasulu.

Hayo mambo mapya ya ippmedia
 
Back
Top Bottom