IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

Ukiangalia hii taarifa unajiuliza kutaja asili ya kihindi lengo lake lilikuwa ni nini? si walishasema Mtanzania?

Je, kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga amehukumiwa kwa sababu ya Ushoga.

View attachment 1912658
Mbona na nyie mnawabagua wachaga kwa kuita duka la mangi au mchaga!
 
Waafrica ni wabaguzi sana, ile huwa hawajihisi kama wao ni wabaguzi, ni mahodari wa kulalamika wao tu
 
Back
Top Bottom