IPP kujenga kiwanda cha kubangua korosho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,644
218,092
Kampuni ya IPP Limited inakusudia kujenga kiwanda cha kubangua korosho mkoani Mtwara .

Hii itakuwa ndio kampuni pekee ya wazawa inayomilikiwa na Reginald Mengi , nyingine ni za kigeni , Hayo yamesemwa na RC wa Mtwara ndugu Byakanwa.

Chanzo : Nipashe.

Swali - Hivi vile viwanda vingine vya Mzee Mengi , vile vya Magari na Smartphone vimefikia wapi ?
 
Hapo nilipo sijanunua simu nyingine maana Mengi alituahidi ndani ya miezi mitatu kiwanda cha smartphone kitakuwa tayari na kuanza uzalishaji lakini mpaka sasa nothing .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Mengi ana akili sana anaisoma fursa anaifanyia utekelezaji. Hapo ameshapata soko nje au mbia mkubwa . Tumsapoti kuliko wengine kukaa na kubeza . Mengi ndiyo tajiri mweusi pekee Tanzania . Atafanikiwa kwenye magari na simu .
 
Back
Top Bottom