ipod

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
wanajamvi nimenunua ipod inaitwa aigo screen touch ila nilipoanza kuichaji kwa kutumia laptop ikaingiliwa na virus na sasa haiwaki wala haingizi moto sasa nifanyeje kwa mwenye utaalam naomba msaada.
 
Kama haiwaki kabisa basi sidhani kama ni virus,sana sana itakuwa ni suala la moto.Hapo muone fundi wa umeme kwanza.Kuna kitu kimeungua(probably).
 
kwaiyo inabidi nikacheki system nzima ya power supply au?
 
wanajamvi nimenunua ipod inaitwa aigo screen touch ila nilipoanza kuichaji kwa kutumia laptop ikaingiliwa na virus na sasa haiwaki wala haingizi moto sasa nifanyeje kwa mwenye utaalam naomba msaada.

Mh, sijawahi kuskia hiyo kitu; au ndy kaja nayo yule CEO mpya wa Apple?
 
That sounds like sub-standard Chinese sh*t!! If thats the case, itupe tu kaka ununue nyingine!
 
Pitbul na amoeba hapo juu mmmevunja mbavu zangul. Nimecheka hadi basi!!ukweli hakuna ipod ya aina hiyo kutoka apple.
Hiyo brother sidhani kama tunaweza kukupa msaada basing on ipod za apple
 
Ikipona uwe unatumia charger yake orignal kuchaji inaonekang hiyo charger ya laptop inatoa output kubwa sana.
 
Ni chinese mp3 player.ni kweli zipo weak na virus attacks.kwenye net zipo free repair software just google utazipata.
 
wanajamvi nimenunua ipod inaitwa aigo screen touch ila nilipoanza kuichaji kwa kutumia laptop ikaingiliwa na virus na sasa haiwaki wala haingizi moto sasa nifanyeje kwa mwenye utaalam naomba msaada.
Mkuu hiyo inawezekana kabisa ni mchina, mp3 player
Kama uliuziwa kwa bei ya ipod umepigwa, kabahatishe kwa mafundi kama wanaweza tengeneza na ikipona tumia chaja yake tu
 
iPod ni brand name ya mp3 player za Apple, nadhani unamaanisha umenunua Mp3 Player ya Aigo Screen Touch. Mimi nadhani imekufa tu hiyo maana virus isingeizuia kupata charge na anyway ni zigumu virus ya Windows kuinfect mp3 player.
 
Kang watu wanajua kuchanganya sana hyo mambo...mtu ana kaMP3 cha 512MB anakaita ipod...thats why watu weng wanauziwa vitu ambavyo sio...tuwe makhn jamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom