IPO Siku...

Dopas

JF-Expert Member
Aug 14, 2010
1,151
392
Ujumbe kwa mganga njaa kwa magamba... ajue mambo mawili...
La kwanza ujue kuwa hilo lina mwisho wake...ipo siku mtapata mateso haya haya kutoka kwa hao mabosi wenu...ccm.. ipo siku nanyi mtavunjwa miguu nna nyinyi mkichokwa kwa umbea na unafiki wenu.....il hali mnaona wazi mateso watesekanayo watanzania wengi kwa ujumla.
La pili ujue kuwa watanzania wengi wanateseka kwa sababu yenu waganga njaa... wanafiki.. msiotaka mtanzania ajinasue kutoka dimbi la hali ngumu na umaskini... kwa sababu tu ninyi mnashiba sasa...ipo siku sio tu mtasikia njaa, bali mtakufa kwa njaa na kiu kwa kosa lenu la kuwakumbatia magamba, il hali mnajua wazi hawataleta nafuu yoyote kwa mtanzania.... ipo hiyo siku...usiombe hiyo siku ikufikie kabla ukombozi wa Tanzania haujafika...
 
Mkuu mi nasikitika kuna vijana wao humu jamvini walikua wanafurahia watu kufa kwa mabomu arusha...inasikitisha sana
 
Tena siku yenyewe wala haiko mbali , watalia na Kusaga Meno , wanachotakiwa kujua ni kwamba Viongozi wao wana viza mkononi , maana wamejipanga kukimbia nchi ! Hata hivyo tunazo Antenna kwenye kila mlango wa kutokea , itafahamika tu , STAY TUNED !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom