Ipo siku ukweli utajulikana na siku zenyewe zimetimia

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Kipindi kile watu humu walikua wakisema kwamba ipo siku ukweli utajulikana

Haya maneno yalitamkwa wakati uonevu na dhulma zilipozidi na manyanyaso yalizidi monoparty ilikua inahodhi kila kitu wengine wakaonekana takataka,wasiofaa, na wapingaji lakini mungu fundi

Mimi nilikua napuuza tu kauli zenu nikaona haiwezekani

Leo hii ukweli wote umeanza kujianika

Kuna msemo unasema kwamba dhulma haidumu ama kweli

Mimi ni miongoni mwa watu waliojikatia tamaa kipindi kile kutokana na hali ilivyokua

Mazingira ya harakati yalikua magumu wale wagumu waliokomaa walilainishwa kwa pesa kuunga mkono juhudi divide and rule ilitumika sana

Wakati mwingine mungu husaidia hata watu waoga wanaogopa kuandamana kumng'oa mtu fulani lakini mungu humng'oa huyo mtu kwa njia zake azijuazo hakika mungu atukuzwe

Kweli mambo ni wazi sasa kweli hii ni awamu ya 6

Nawatakia mwanzo mpya kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Noma sana !
 
Back
Top Bottom